Umeona emojis???Ina maana hata alipoongelea kuhusu chaguzi huko visiwani napo alikuwa hampendi nani ?
Mzee wetu ndugu katika imani huwa hamtengi bhana
Je alichukia wa awamu zote ?
Watanganyika kwa sasa tuko live kabisa mnajisumbua tu na hadithi zenu hizo za eti kuna mtu mwingine tofauti na nyie ccm eti haitakii mema tanganyika! Ni nyie tunawajuamachizi wasioirakia mema nchi yao.
Watanganyika kwa sasa tuko live kabisa mnajisumbua tu na hadithi zenu hizo za eti kuna mtu mwingine tofauti na nyie ccm eti haitakii mema tanganyika! Ni nyie tunawajuamachizi wasioirakia mema nchi yao.
Don't project your uchawa onto the diaspora. The irony of a real-life chawa calling them stupid when they actually work for their own money, while you're busy sucking up to people and begging for leftovers just to survive
Diaspora wanawapa headache kwa sababu ni moja ya kundi la Watu ambao hawawezi kulitawala.Coercive control tactics hazina nguvu kwa sababu ya financial independence ambayo Diaspora wengi tayari wanayo,kuondoa Financial Independence ya Watanzania ni tactics ambayo CCM wanaitumia,kwa CCM economic survival ni tool ya kuwafanya Watanzania wawe compliance,hiyo haiwezekani kwa Wabeba Mabox wenye vipato vyao,itafanya kazi kwa Diaspora waliojiozea huko Ughaibuni ambao hawana Makaratasi,Mfano ni vile wanavyoibana Chadema na kuwahangaisha na kesi za kijinga za kutaka kuwanyang’anya Asset za Chama,mara kuwafungia account wasipate pesa za tone tone au vile walivyofunga account za Mange CRDB..Economic survival wao ni nyenzo ya kulazimisha watu kutii na kuwa upande wao,Wanataka kutumia hili suala la Uraia pacha kucontrol Diaspora,Watawapata Diaspora wachache,Diaspora wana opportunities nyingi sana za kuwekeza sehemu mbalimbali Africa na ukweli utabaki palepale waliozaliwa Tanzania walizaliwa Tanzania,hakuna Political System inayoweza kubadilisha hilo.Don't project your uchawa onto the diaspora. The irony of a real-life chawa calling them stupid when they actually work for their own money, while you're busy sucking up to people and begging for leftovers just to survive.
Usitumie neno "tuko" sema ....niko live....Watanganyika kwa sasa tuko live kabisa mnajisumbua tu na hadithi zenu hizo za eti kuna mtu mwingine tofauti na nyie ccm eti haitakii mema tanganyika! Ni nyie tunawajua
Kwenye hiyo statement Kuna neno KUPINDUA NCHI au KUCHOMA VITUO?? Mkuu jitahidi sana kuficha utahira wako ukiwa JF
Nina mashaka sana na uwezo wako wa kiakili na nawahurumia kama una watoto wakachukua utahira wa akili zako mwisho wanaenda kusumbua waalimu shuleniUsitumie neno "tuko" sema ....niko live....
Usitumie hisia za kulazimisha zinazowaangusha kila siku.
Chadema na wajinga wengine walidhani kuwa watanzania wooote nchi nzima hadi vitongojini wanaichukia CCM, hivyo vurugu za Oct29 zingefanywa nchi nzima hadi vitongojini, matokeo yake ni wavuta misuba wachache kwenye kona chache za majiji ya DSM, MWZ, Arusha, Mbeya na Tunduma kidooogo sana ndio waliojitokeza na wakaminywa kama funza mguuni. Hawana hamu.
Habari ya kusema watanzania, watu wame.... ikome.
Kama hakuna anaeweza kubadilisha hilo mbona milio mingi sasa? Siwafanye kama wanaubavu?Diaspora wanawapa headache kwa sababu ni moja ya kundi la Watu ambao hawawezi kulitawala.Coercive control tactics hazina nguvu kwa sababu ya financial independence ambayo Diaspora wengi tayari wanayo,kuondoa Financial Independence ya Watanzania ni tactics ambayo CCM wanaitumia,kwa CCM economic survival ni tool ya kuwafanya Watanzania wawe compliance,hiyo haiwezekani kwa Wabeba Mabox wenye vipato vyao,itafanya kazi kwa Diaspora waliojiozea huko Ughaibuni ambao hawana Makaratasi,Mfano ni vile wanavyoibana Chadema na kuwahangaisha na kesi za kijinga za kutaka kuwanyang’anya Asset za Chama,mara kuwafungia account wasipate pesa za tone tone au vile walivyofunga account za Mange CRDB..Economic survival wao ni nyenzo ya kulazimisha watu kutii na kuwa upande wao,Wanataka kutumia hili suala la Uraia pacha kucontrol Diaspora,Watawapata Diaspora wachache,Diaspora wana opportunities nyingi sana za kuwekeza sehemu mbalimbali Africa na ukweli utabaki palepale waliozaliwa Tanzania walizaliwa Tanzania,hakuna Political System inayoweza kubadilisha hilo.
Kwa hiyo ndugu mleta uzi unataka kusema hao walioenda kwenye hivyo vyombo kama CNN na BBC Kuna uongo wowote waliousema ambao unaweza kutuelezea sisi kama watanzania wa JF tukakuelewa? Tetea hoja yakoKama hakuna anaeweza kubadilisha hilo mbona milio mingi sasa? Siwafanye kama wanaubavu?
Sisi tunafahamu kuwa hawa ni watanzania wenzetu na watoto wetu kabisa, na tunajua kuwa hata kwenye msafara ya kenge mamba mmojammoja hakosekani. Hatusemi manamba wote ni hatari kwa taifa, nop, ila hatari kama wale waliokwenda CNN, DW, BBC, EU, Al Jazeera, ICC kuichafua nchi yao wanatoka miongoni mwao.
Mjinga hajawahi kujiona kama ni mjinga na akakubali kuwa ni mjinga ila wanakuona wao ndo wanakuona ujinga wako ndo kama huuDuu, ungejua watoto wangu ni mageneous ile mbaya usingesema uharo wako huu.
Naomba uujulishe umma namba yangu ya kadi ya uanachama wa Chadema.Sio kweli. CCM ndiyo yenye serikali ambayo ina sera ya kuwapatia ardhi watanzania wote bila kujali wewe ni kabila gani na ardhi iko kwenye kabila gani. Mbona chadema hamuikatai sera hiyo? CCM haifai lakini ardhi ya watu wa makabila mengine umeichukua. CCM oyee
sawaKwenye hiyo statement Kuna neno KUPINDUA NCHI au KUCHOMA VITUO?? Mkuu jitahidi sana kuficha utahira wako ukiwa JF
Mkuu,hiyo milio unayoisikia inatoka kwa Diaspora baadhi,kuna Diaspora hawana muda hata kupambania huo Uraia pacha,wako busy na mambo yao,Uraia pacha wala hadhi muhumi CCM haitatoa itabaki kufanya future faking kila uchao,Diaspora wachache wanafahamu hilo huwezi kuwakuta kwenye Balozi kutwa kupambana na CCM kudai Uraia Pacha,Mnapenda pia kuwatumia Diaspora kwa sababu zenu binafsi,mkitaka kuwatumia kwenye timu ya Taifa,Mnawachukua Diaspora ambao wameukana Uraia wa Tanzania,Diapsora mwenye Uraia wa Nnchi nyingine mwenye asili ya Tanzania akifanya vizuri,mnasahau kuwa Tanzania hakuna Uraia Pacha,mfano ni yule Diaspora Muingereza mwenye Asili ya Zanzibar aliyeshinda Nobel Peace Prize ya Literature,mnajitoa ufahamu na kusahau kuwa hamtaki Uraia Pacha,mko busy kuwashawishi Diaspora waje kuwekeza at the same time mnataka muwacontrol Diaspora Kama mnavyoganya kwa Watanzania,Coercive Control ni abuse kwenye Nnchi nyingi sana hapa Duniani, Isipokuwa Tanzania ,mnataka ku dictate pia uhuru wa Mawazo kwa Diaspora kama mnavyofanya kwa Watanzania,mnatumia huo Uraia pacha na hadhi muhimu Kama fimbo ya kufanya hivyo..Kama hakuna anaeweza kubadilisha hilo mbona milio mingi sasa? Siwafanye kama wanaubavu?
Sisi tunafahamu kuwa hawa ni watanzania wenzetu na watoto wetu kabisa, na tunajua kuwa hata kwenye msafara ya kenge mamba mmojammoja hakosekani. Hatusemi manamba wote ni hatari kwa taifa, nop, ila hatari kama wale waliokwenda CNN, DW, BBC, EU, Al Jazeera, ICC kuichafua nchi yao wanatoka miongoni mwao.
Kuna uongo mkubwa wa kutisha. Kwakuwa walikuwa hawataki kuripoti kwanini watu waliuliwa. Hawakusema kuhusu watu waliokatwa vidole, waliovamia vituo vya polisi na kujipatia silaha na sare za polisi, waliochoma barabara, sheli, mahakama, vituo vya kura, migahawa ya watu, nk. Waliripoti kama vile watu waliuliwa makusudi wakiwa wamelala, wanachunga, wanavua, wanaogelea, wanalima shambani, nkKwa hiyo ndugu mleta uzi unataka kusema hao walioenda kwenye hivyo vyombo kama CNN na BBC Kuna uongo wowote waliousema ambao unaweza kutuelezea sisi kama watanzania wa JF tukakuelewa? Tetea hoja yako
Nikwambie tu ccm hampendwi na yeyote sema mlikuwa mnatumia ujinga wa watanzania wa kutokuelewa mambo na hata ukiona kuna mtanganyika anakusapoti ujue bado hajaamka au chawa kama wewe tofauti na hapo hamna mtu anaweza kuielewa ccm. Angalia hata waandishi wa habari wengi wamejaa vifua vyao lakini risasi na utekaji ndio imebaki mbinu yenu ya mwishoUsitumie neno "tuko" sema ....niko live....
Usitumie hisia za kulazimisha zinazowaangusha kila siku.
Chadema na wajinga wengine walidhani kuwa watanzania wooote nchi nzima hadi vitongojini wanaichukia CCM, hivyo vurugu za Oct29 zingefanywa nchi nzima hadi vitongojini, matokeo yake ni wavuta misuba wachache kwenye kona chache za majiji ya DSM, MWZ, Arusha, Mbeya na Tunduma kidooogo sana ndio waliojitokeza na wakaminywa kama funza mguuni. Hawana hamu.
Habari ya kusema watanzania, watu wame.... ikome.
ha ha ha ha Basi wana baba wa jabu, itabidi waonewe huruma kama watoto wa Babalevo na MwijakuDuu, ungejua watoto wangu ni mageneous ile mbaya usingesema uharo wako huu.
Aiseeee nimejaribu kusoma maelezo yako hakuna mtu humu anaeweza kukuelewa labda nyumbu zile za makorido ya Lumumba.Kuna uongo mkubwa wa kutisha. Kwakuwa walikuwa hawataki kuripoti kwanini watu waliuliwa. Hawakusema kuhusu watu waliokatwa vidole, waliovamia vituo vya polisi na kujipatia silaha na sare za polisi, waliochoma barabara, sheli, mahakama, vituo vya kura, migahawa ya watu, nk. Waliripoti kama vile watu waliuliwa makusudi wakiwa wamelala, wanachunga, wanavua, wanaogelea, wanalima shambani, nk