Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

UTawaona waathirika punde tu baada ya tume ya kijinai ikimaliza kazi yake. Hata kama wangekufa 100,000 kama sababu za kufa zipo haina neno japo hiyo sio kawaida yetu.

Mimi nilifunga safari kwenda Mbeya kuhakikisha mwanangu hashiriki kwenye mkumbo wa vurugu, hiyo ndiyo ilikuwa salama yake. Wazazi tuna wajibu. Hata wewe mshukuru mzazi wako kukuzuia, la sivyo huenda nawe ungekuwa no more, hahaha.

Inaudhi lakini imetokea kama ilivyotokea, kila mtu amejifunza kitu.
 
Ila wewe kilaza kwani darasa la Lucas huwa hauhudhirii
 
MATAKO ya SSH huna hoja za kubishana na Mimi Wala huna majibu ya hoja nitakazokupa shenztaipu
Mimi sijui how much powerful you are in arguing, lakini nisemehe tu kuwa ile wasiwasi waliokuwanayo akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kuhusu kuruhusu uraia pacha hata Samia lazima aendelee kuwa nayo kwa kilichotolea Oct29. Hatari na hasara za uraia pacha ni kubwa kuliko faida.
 
Weka picha hapa za hao waliokatwa vidole kwa wale alioua Samia ushahidi wa picha upo.

NB:
Dual citizenship nyie walugaluga mnaipiga vita tokea kitambo, mko tayari nchi isifaidike kiuchumi kwa kuwa tu you can't bully those who are outside TZ.
Nchi nyingi(developing countries) zinapata mchango mkubwa kutakana na inputs za diaspora.
 
Umejiokotea mapicha ya wafu kutoka Goma na kuyapaste humu.

Kuna nchi za Afrika zina uraia pacha lakini hata uwanja mzuri wa kuchezea timu zao mashindano ya CUF hazina. Nchi nyingi za Afrika zinaiona Tanzania kama taifa lililoendelea. Vijana wa nchi nyingi za Afrika wanakuja tz kutafuta maisha, na wakifika hawataki kuondoka. Uraia pacha tutaambulia kuwa na mashoga tu na vibaraka waliorahisishiwa kazi ya kutuangamiza.

Eti wenzetu kule wanatukana viongozi wao kwanini nyinyi hamuwatukani?. Waje tu kama wawekezaji sawa na wawekezaji wengine, wakituzingua tunawatimua kama tunavyowatimua wengine. Tutamkataa mchana kweupe kabla jogoo halijawika.

UKiona kiongozi wa nchi anataka kuruhusu uraia pacha ujue anafanya hivyo kwa maslahi ya mwanawe na sio taifa.
 
Eti Goma, basi hata hao aliowa-acknowledge huyo Chande nao walikuwa wa Goma, hata hiyo reconciliation anayoililia huyo bibi mvaa shanga nyingi wa Kizimkazi ni ya Goma pia.
Your stupidity is irreversible, mpaka serikali yenu haramu inakiri kuwa iliua na imetoa idadi ya iliyowaua lakini one irrelevant ass-hole chawa has the nerves to deny it all.
Before you vomit crap at least learn a bit of the whataboutery.
NB: Fanya research ya mchango wa diaspora kwa nchi zenye dual citizenship, mifano ya Philippines, Jamaica au Ghana itakusaidia kukutoa ujinga.
 
Sijawahi kuwaza kama una akili za kipuuzi kama hizo Yani Hadi hiyo picha ya mwisho unasema ya raia kutoka Goma?? Unataka Hadi nikwambie jina la huyo Binti na wazazi wake wanaishi wapi? Hivi hata umeichunguza hiyo picha hata kwa kuzoom tu kuangalia kulia kwako Hilo karatasi la Bango limeandikwa nini?? Aiseeee kama unataka posho za buku saba wanazopokea kina Lucas basi achana nazo maana hwataruhusu mpuuzi kama wewe uwaaibishe kwenye kutetea hoja zako maana ni wazi wewe ni zero brain kabisa ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ