GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Jamani tukisusa kupiga kura tutakua tumejichanganya najua mashetani wekijani hawatakosa kwenda kupiga kura kwa hiyo tusisuse twende tukapige kura kwa mgombea tunaemtaka
 
Jamani tukisusa kupiga kura tutakua tumejichanganya najua mashetani wekijani hawatakosa kwenda kupiga kura kwa hiyo tusisuse twende tukapige kura kwa mgombea tunaemtaka
BREAKING: Kapteni John Charles Tesha ni mwanajeshi halali wa anga. Tumepata intake slip yake, intake 58, mkufunzi SAK (Airforce) tokea July 2022.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi sina mpango wa kuungana na nyie maana hamna msimamo ni maneno tu
Tunataka ushuhudie sio uandamane wewe utakua pembeni unachukua matukio na kushuhudia live kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…