Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha mduara....Aliowaletea dharau Leo wako ikulu, haya maisha mi najifunza kila iitwyo leo
Watamfungulia kesi huyu Sabaya nyingi tu na kila sehemu. Tungoje na yule aliyeko Canada naye amfungulie kesi Sabaya kabla na wale wa Ubelgiji na Marekani hawajamfungulia kesi, ukiachilia mbali hawa wa hapa DAR-ES-SALAAM! Aaaaaah!Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.
===========================
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Tumaniel Kweka kwa kuwa anatokea Wilaya ya Hai.
Aliwasilisha hoja hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Salome Mshasha, Sabaya alisema hana imani na mwendesha mashitaka huyo kwa kuwa anatokea katika wilaya hiyo na kwamba ni mtu aliyedai ni wa visasi na anatumika kisiasa.
Sabaya na washtakiwa wenzake wanne wanaokabiliwa na mashitaka saba ambapo alienda mbali na kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kesi hiyo.
Mbali na hoja hiyo lakini kulijitokeza hoja nyingine kupitia kwa wakili Hellen Mahuna, aliyedai washitakiwa hao hawakupelekwa mahakamani hapo kwa kufuata taratibu za kisheria na kwamba mawakili wao hawakupewa taarifa.
Kutokana na malumbano hayo, Hakimu Mshasha ameahirisha kesi hiyo kwa muda wa dakika 10 hadi 15 ili kupitia hoja hizo ili kutoa uamuzi mdogo.
--UPDATES--
AKwani hairuhusiwi kisheria?
Muulize Kibatala
Tuna la kujifunza.Ukitumwa kazi yapasa kutumia akili nyingi.kijana bado anabananishwa tu, aisee !!
Zote atatoka kwani Mahakimu huko Mahakamani wana kitu kinaitwa PRECEDENT. Hii itamsaidia Sabaya na atatoka salama!kijana bado anabananishwa tu, aisee !!
Inatakiwa afungwe haraka snKwani hairuhusiwi kisheria?
Muulize Kibatala
Yaonekana unamtabiria kheri.Ila anapaswa ale mvua nyingi ili vibaka wenzie waogope na wajute ukito.mba moto utaungua vooozzz!Teh!Zote atatoka kwani Mahakimu huko Mahakamani wana kitu kinaitwa PRECEDENT. Hii itamsaidia Sabaya na atatoka salama!
Lazima afungwe hatakaa asahau maisha yake yoteBado wanaye tu
Funzo ni kuheshimu kila mtuAliowaletea dharau Leo wako ikulu, haya maisha mi najifunza kila iitwyo leo
Hatari snYaonekana unamtabiria kheri.Ila anapaswa ale mvua nyingi ili vibaka wenzie waogope na wajute ukito.mba moto utaungua vooozzz!Teh!
Kila mtu ata lipwa kwa mujibu wa ujira wake. Huyu alidhani dunia ni yake. Ati hamtaki mwendesha mashtaka kwa vile ana toka Hai.. Vichekesho hivyo... Yaani huyu ndie mzuri kwa vile alikuwa na wilaya moja. Anajua upumbavu wooote alio tenda.Mh.aingilie kati kumnusuru huyu kijana kwenye hili sakata kuna mkono wa mtu hapa sio bure na bila shaka ni yule aliyetoka majuzi.
Bora lile jambazi moja lilikufa likazikwa chattoAisee,Ujambazi haulipi
Huyu Sabaya anatakiwa akutane na yule mwamba wa Mwanza, Saidi OswayaAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.
===========================
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Tumaniel Kweka kwa kuwa anatokea Wilaya ya Hai.
Aliwasilisha hoja hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Salome Mshasha, Sabaya alisema hana imani na mwendesha mashitaka huyo kwa kuwa anatokea katika wilaya hiyo na kwamba ni mtu aliyedai ni wa visasi na anatumika kisiasa.
Sabaya na washtakiwa wenzake wanne wanaokabiliwa na mashitaka saba ambapo alienda mbali na kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kesi hiyo.
Mbali na hoja hiyo lakini kulijitokeza hoja nyingine kupitia kwa wakili Hellen Mahuna, aliyedai washitakiwa hao hawakupelekwa mahakamani hapo kwa kufuata taratibu za kisheria na kwamba mawakili wao hawakupewa taarifa.
Kutokana na malumbano hayo, Hakimu Mshasha ameahirisha kesi hiyo kwa muda wa dakika 10 hadi 15 ili kupitia hoja hizo ili kutoa uamuzi mdogo.
--UPDATES--
Hivi kisheria mwendesha mashtaka anaweza kukataliwa na mtuhumiwa?Yeye kama hamtaki mwendesha mashtaka wa Jamhuri, afanye mgomo wa kwenda mahakamani kusikiliza kesi dhidi yake. Akae nyumbani anywe bia halafu alale. Ngoma ipigwe upande mmoja "EX PARTE".
Ndio atajua kwanini dunia ya mviringo!
kubwa la majambaziBora lile jambazi moja lilikufa likazikwa chatto
Acha kujipa matumaini ya kijinga,hakuna anayemwandama zaidi ya kulipa maovu aliyoyafanya,na apaishwe ili aende wapi??[emoji2][emoji2]huyu hata akisamehewa leo atakuwa hana jipya lolote mtaaniKadri wanavyomuandama na ndivyo wanavyompaisha kwa siku zijazo!
Wewe ndie yule mchumba wake?Wabongo tunawajua kwa roho mbaya mko vizuri lakini kesi zote atashinda jitahidini tu