Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Nimesikia wamewakamata na mabaunsa wake...Takukuru inawashikilia mabaunsa kwa tuhuma za rushwa za boss wao? Mbona kama kuna siasa zinaendelea.
Hao mabaunsa ni nyenzo muhm sana ktk ushahidi wowote coz wao ndio walikuwa wanapokea amri toka kwake na kutekeleza matakwa ya boss so ni sahihi kabisa kukamatwa kwao.
 
Huyo jambazi asipofungwa basi inabidi wahujumu uchumi wote watoke,Sabaya ni tapeli ,mwizi na jambazi wa waziwazi...Takukuru kusanyeni ushahidi kisha mpeleke kwa DPP/DCI kisha apelekwe kwa pilato ahukumiwe kifungo.
 
Karibu Tanzania ya viwanda iliyochangamka yenye kuchangamkia wezi wa kuku kuliko majangili na wauwaji
 
Kwanza azitapike mali na pesa alizokwapua , then mahakamani KWA matuuma yake kibao
 
Mmeumia mbona Wapinzani wakikamatwa hampigi Kelele kuwa Waachiwe? Usiwafundishe Kazi
 
Halafu zile I'd Ilizokuwa zinamtetea sana na kumtukana mama sana hazionekani. Inaelekea zilikuwa zake mwenyewe. Tangu alipokamatwa hazionekani. Wanajamvi chunguzeni hizo ID tuanzie kuzioroshesha hapa.
 
Wakuu wa wilaya walikuwa wanawaweka watu ndani wakijisikia kufanya hivyo hapa tunajifunza umuhimu wa katiba mpya
 
Jeshi la polisi na ccm waliwatesa wapinzani kuwaweka rumande mda mrefu wapinzani bila kuwapeleka mahakamani ,Sabaya naye alikuwa anawatia watu ndani na kukaa bila kesi ,utaratibu huo huo leo unawarudia Nye wenyewe ,aendelee kukamatwa uchunguzi unaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#FREESABAYA πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€£πŸ’
 
kwa hiyo wewe hutaki afikishwe mahakamani?
Wewe ni make au mchepuko wake? Yaani siku chache tu hizo unahemkwa na genye! Akihukumiwa miaka utatubakia vivulana vya shule!
Unafikiri kazi ya uchunguzi ni ya kuendea mbio Kama kula ugali na mlenda? Kwa taarifa yako uchunguzi wa bwanako huyo waweza kufanywa mwaka mzima na huna kitu utawaambia takukuru mpya wakuelewe!
 
Hii tuhuma nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa mgonjwa wa misambwanda πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…