Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Kashtakiwa Arusha sababu kuna makosa kayafanyia Arusha. Kwani unadhani ndo mambo yameisha mkuu? We subiri ataenda na kushtakiwa Hai wala usiwe na shaka. Mbona mambo ndo yanaanza
 
Niliwaambia zamani sana kabla hata mambo hayajabadilika kuwa
UOVU HAUSHINDI. Ila kwasababu mnashupaza shingo, ni dhahiri mtaziponza.
Shetani ametanua sana hapa duniani lakini mwisho wake ni ziwa liwakalo moto. Jirekebishe,,,, adhabu ya waovu haijafutwa.
UOVU HAUSHINDI
 
Yaani wayu wa humu jf bwana .mtuambie kafanya makosa gani andikeni humu tujue sio mnaleta polojo tu uhujumu uchumi ni enwo pana je kahujumu nini?
 
Sabaya amehukumiwa?
 
Mpumbavu, akili yako haina akili
 
Mahakama siyo jengo, ndo maana kuna mobile court. Mahakama inaweza fanyika popote kulingana na factors kadhaa.
 
Kesi ni mchakato mpana kufikishwa mahakamani ni jambo moja na kufungwa ni jambo la pili......
 
Mbona lile kosa la kumbaka yule msanii pale weluwele lodge halimo au alikizika baada ya kusakwa chumba kwa chumba mwishowe akapatikana na kubebwa na Sabayanga na kundi lake .
 
Shezi kabisa
 
Màtaga yanaruka na kukanyagana.
 
Haya ndiyo mambo yaliyomletea shida sabaya, ushauri wa kipuuzi. Kama asingekwenda clouds huwenda yasingetokea haya yaliyotokea, kila mnavyoona mnamsaidia ndio mnamuharibia. Hamuwezi kumfundisha kazi Rais, hamuwezi hilo lijueni, mkimuelekeza cha kufanya na kumpa shinikizo ndivyo atakavyozidi kunyoosha rula. Mngetulia
 
Kesi ni mchakato mpana kufikishwa mahakamani ni jambo moja na kufungwa ni jambo la pili......
Na jambo la tatu ni fedheha ya kuvishwa pingu kuambiwa uchuchumae na watu wale wale uliokuwa unawaburuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…