Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Nina hasira na aliyekuwa anawateua watu wa aina hii...!, imesababisha mama yetu mpendwa rais samia kaogopa haya mambo ya teuzi wa watoto wadogo maana hata maisha hawajui vizuri, na kama maisha huyajui vizuri ni ngumu sqna kuwa kiongozi bora na mtulivu na msikivu.
 
Na jambo la tatu ni fedheha ya kuvishwa pingu kuambiwa uchuchumae na watu wale wale uliokuwa unawaburuza
Watu wa kawaida wanampenda mno Sabay, ila mafisadi wanamchukia mno Sabaya
 
Watu wa kawaida wanampenda mno Sabay, ila mafisadi wanamchukia mno Sabaya
Mimi ni mtu wa kawaida sina cha ziada zaidi ya Mungu na familia yangu ila nakuhakikishia sikumpenda Sabaya
 
We mat*k* hufahamu kwamba kwao Sabaya ni Sambasha Wilaya ya Arumeru?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Kweli wewe ni mtanzania?
 
Haki ya kutesa na kupora watu pesa,ccm ni genge la majambazi
 
We piga kelele ikikuuma sana kaungane naye.
Hayo mawe ni wewe ushaanza piga kelele.
 
Hadi anafanya yote haya kamati ya ulinzi ya wilaya na ya mkoa ilikuwa wapi, kwann nao isiwajibishwe.
 
ukifuatilia kwa umakini utaona kabisa ni ungese mtupu Mama naye anashikwa akili na wapika majungu na yeye anaigia king tu.

huyu Mama naye ni ovyo hana maana
 
Yaani wayu wa humu jf bwana .mtuambie kafanya makosa gani andikeni humu tujue sio mnaleta polojo tu uhujumu uchumi ni enwo pana je kahujumu nini?
Kasome hati ya mashtaka πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜Š. Anavuna alichopanda, afadhali yeye kapewa nafasi ya kufikishwa mahakamani kuliko wale aliokuwa anawaminya kimya kimya na kuwafanyia unyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…