900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
nafikiri karibu vyote hivo havina dhamana anyookeAliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021
shida ya Mwendazake alipenda kuwatesa wale waliokuwa na mtizamo tofauti na yeye na alitesa kwa kutumia hao aliowapa vyeo sasa wengine walijiongeza wakajua kuna kesho, wengine walijisahau wakatumia ubaya wa magu kujipatia vinono kwa kujipendekeza kwake kwa kuwatesa wabaya wake wakajua magu ni ka Mungu haondoki leo wala kesho na hata akiondoka wao wana kinga sasa Mungu alipofanya yake leo ndo wanaumbuka. Ni vizuri sana next time ccm wakaleta rais ambaye anavumilia kukosolewa kupingwa na mwenye utu pia maana kiongozi inabidi awe na ngozi ngumu. Kama wapo wanaompinga Munga na bado Mungu anawapa uhai na mali sembuse binadamu ndo atese, aue wakosoaji wake hapana ni machukizo mbele za Mungu.Mwendazake aliwapa Sana Vijana nafasi ya Uongozi, bahati mbaya walikosa Mentor mzuri kuwafunza ethics za Utumishi na Uongozi wa Umma kwa ujumla labda kwa kuwa aliyewateua hakujali rule of law.
Hili liwe funzo kwa Vijana wote watakaoaminiwa na kupewa nafasi za uongozi, wawe wanatenda kwa kufata sheria na taratibu za Nchi.
Wao kama ni gali, linasoma Zero kilomita, hivyo wanasafari ndefu kulitumikia Taifa.
Wanaowateua Wamejiwekea Kinga ya Kutoshtakiwa, wao hawana.
Tafadhali Makinikeni
ATI KA-MMASAI KAMEVUTIWA NA MADEMU WAKALI KAKATUMIA GENGE LAKE LA WAHUNI KUWALA KIBABE NA KAMA KULIWALA NYAMA KWA NYAMA NA UKIMWI JUU KANAO, KAMBWA KABISA HAKA KAKIMASAI NA KAMLAUMU MUHUNI MWENZAKE DIKTETA MAGUFULIDuh utani utani tu unashangaa jezi ina namba ya kuingia tu... Ya kutoka hamna!
Alimbaka demu wako au ahaaaaLA ubakaji mbona sijaliona
Hii mbona bado hujashangaa subiri mbelee limovie fulani hivi hutaamini[emoji848]MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Tunamvizia kaa kwa kutuliaMAKONDA ashukuru alijitoa mapema
Kifungo chake ni miaka 30Loh, hana dhamana...unyanganyi wa kutumia silaha!
iko kwenye uhujumu uchumu na kuongoza genge la uhalifuLA ubakaji mbona sijaliona
Inawezekana limehesabika kama rushwa ya ngona, na siku hizi rushwa ya ngono inaangukia kwenye uhujumu uchumi!!LA ubakaji mbona sijaliona
Hicho cheo si chake tena!!MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Linajumuishwa kwenye makosa ya uhujumu uchumiLA ubakaji mbona sijaliona
We mwenyewe uliyebakwa unasemaje!!?LA ubakaji mbona sijaliona