Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Hakuna cha kafara wala nini, hilo anastahili kupitia natamani huo uwe ni mwanzo tu wale wote waluoshiriki uovu kipindi cha hapa karibuni waadabishwe vilivyo kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizoko.
 
Kaka usijitoe ufahamu. Au nawe ni wale waliopata uraia wa kuomba na kisha ukaupata kuanzia Machi, 2021?
 
Kweli Mungu haziwakiwi!! Walijifanya wazalendo wa nchi hii, wakituaminisha uongo!! Leo kaumbuka. Bado Bashite.
 
Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021
La ubakaji kwanini halikuwekwa ? Nafikiria kukata rufaa
 
Akapumzike stoo.hili liwe funzo kwa viongozi wanaoonesha kiburi wanapopewa madaraka. Akitoka jela tutamalizana nae kitaani .mse.nge huyo
Waterloo kuwa mpole tayari anafanywa cha.. kula huko aendako.
 

Wapi ww bendera fuata upepo, ww si ndio bingwa wa kusifia madhalimu hapa nchini, ikiwemo huyo unayelinda kaburi lake? Umeona kibao kimemgeuka ndio unajifanya kuleta uzi wa kubalance shobo. Kafie mbali.
 
Acha bange, kwani Upinzani wanaendesha serikali? Wana hata kiongozi wa Kata? Acha upuuzi
 
Najaribu kuwaza leo Sabaya atakavyovuliwa nguo zote kwenye ukaguzi.... anaambiwa kujisaidia haja kubwa bila hata kubanwa.. anaambiwa kuchuchumaaa akiwa uchi wa mnyama mbele ya wale waliomuona boss wao.. tuliposema watu wanadhalilishwa wakafikiri yataishia kwa Chadema tu.
Heche
 
Wapi ww bendera fuata upepo, ww si ndio bingwa wa kusifia madhalimu hapa nchini, ikiwemo huyo unayelinda kaburi lake? Umeona kibao kimemgeuka ndio unajifanya kuleta uzi wa kubalance shobo. Kafie mbali.
Dogo mimi ni mtu mwenye msimamo. Unaposema mimi bingwa wa kusifia madhalilu unakosea
Ukiambiwa uthibishe kwa ushahidi kihusu dhalimu utaweza?

Kama Sabaya ana makosa nini kulemba? Kwa nini msianze kusikiliza kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…