Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Implicitly yes, hatukuwahi kusikia akikemewa pamoja na tuhuma zake kutolewa hadharani tena mbele ya Waziri mkuu. Kama hata uchunguzi tu haikufanyika kwa nn tusiamini kwamba alitumwa na yote aliyotenda yalikuwa na baraka za mteuzi wake?
Do you think JPM sent him to do those criminal things???
 
Kama na wengine waliotenda kama yeye enzi zile watafikiwa sawa.Ila kama ni Sabaya tu,hapana.Hainiingii kichwani.Itakuwa tunachezwa machezo ya kisiasa tu.amna jipya.
 
Kwa katiba tuliyonayo vyombo vya ulinzi haviko huru kama S A au Kenya hivyo si rahisi Ku muarrest kiongozi aliyeko madarakani atenguliwe.Wanaodai katiba mpya sio kwamba hawana akili.
 
Hui ni ujinga kafara lipi wakati kafanya ujambazi wa hali ya juu
 
Sisi watu wa science tuna itukuza ile third law of motion
Action and reaction are equal in opposite direction..

Limemrudia mwenyewe
 
Please try to use your brains before writing. Sabaya ameshtakiwa Arusha kwa makosa yaliyofanyika Arusha . Sasa wapinzani wanahusika vipi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…