Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Yuko gereza gani nifanye uhalifu nipelekwe huko jamani, maana nimempenda siku nyingi na hii ni fursa!
me pia nime waza hivyo ila Arusha wapo wengi hko Kisongo muda huu wana mshughulikia alilo fanya ndilo atakalo fanyiwa!
 
Ingekua ni Mpinzani hapa, kelele zingepigwa kwamba kabambikiwa kesi ya uhujumu uchumi. Ila huyu anaonekana kwamba kashtakiwa kihalali.
 
JPM kwa kuyajua yote hayo, akaamua kuwakomesha wachaga kwa kuwapelekea jambazi!!!!!! kweli jamaa aliwachukia sana.
Yaani jamaa aliwachukia wachaga angeweza
JPM kwa kuyajua yote hayo, akaamua kuwakomesha wachaga kwa kuwapelekea jambazi!!!!!! kweli jamaa aliwachukia sana.
Angewauwa wote ila Mungu Fundi nitamsifu Mungu kila saa
 
Kama nikweli. Atupwe ndani na wala asitolewe...ikiwezekana hata miaka 30 jela na pesa alizopora arudishe zote. Nyambafu
 
Nawasalimu kwa jina la HAKI!!! Hatimaye tunauhakika leo usiku Sabaya na majambazi wenzake watakula ugali wa polisi katika gereza kongwe la Kisongo jijini Arusha. Kwa taarifa yenu huu ni msimu wa baridi basi tunamtakia jambazi huyu wa awamu ya tano jela njema! Afungwe kwa amani….


Loh, hana dhamana...unyanganyi wa kutumia silaha!

Balaa zito,kuna la kujifunza kubwa sana hapa.

Acha akawekwe wanapokaa majambazi wenzie

Duh utani utani tu unashangaa jezi ina namba ya kuingia tu... Ya kutoka hamna!

Ngoja Avune alichopanda, aliyekuwa anamtuma na kumkingia kifua kila mtu Anaijua kazi ya Mungu Haina makosa

MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje

Jambazi huyo alikua anatumia kodi zetu kukaba wacha aende...

Kweli jehanamu ni hapa hapa duniani
 
Yaani mitandao ni hatari sana. Hasa hii ambayo tunatumia majina bandia, mambo mengi ni fake na ya kufikirika...ogopa sana. Usishangae jamaa akatoka akiwa ameoshwa safi.
Makosa mengine yanaweza kumfuata huko huko aliko. Mwendesha mashtaka hawezi kupeleka kesi bila ku establish ushahidi, na ujue ushahidi wa kubaka ni changamoto!
 
Binafsi naona kama maigizo hivi, hebu ngoja tuone mwenendo wa kesi utavyokuwa na kama kutakuwa na ruksa ya kuwa na mawakili
 
Hapa mama alicheza kama pelle.
 
Absolutely Sir

Walifanya utadhani nao wanakinga ya kutoshtakiwa.

Nadhani hili litawafunza wengi watakaopewa dhamana ya kutuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…