Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,283
[emoji23][emoji23][emoji23]Na sisi watu wa paranormal tunasema "what goes around comes around"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na sisi watu wa paranormal tunasema "what goes around comes around"
Ushahidi kaka ngoja tuanze na matatu Kwanza huku tukikusanya ushahidiMbona hamna la ubakaji?
Pengine bado wanapepeleza na kuchukuwa ushahidi. Kumbuka mtu anaweza kurudishwa mahakamani hata mara tatu kwa kesi tofauti tofauti.Mbona hamna la ubakaji?
Na sisi wa ukanda wa Gaza tunasema "Ukiua kwa upanga na we utauawa kwa upanga"Na sisi watu wa paranormal tunasema "what goes around comes around"
KARMAKweli jehanamu ni hapa hapa duniani
Ama kweli dunia duaraAliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021
View attachment 1808139
View attachment 1808140
View attachment 1808141
=======
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kupokea rushwa.
Sabaya ambaye alisimamishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 13, 2021 kupisha uchunguzi alifikishwa mahakamani hapo akiwa amefungwa pingu na baada ya wote kushuka kwenye magari ya polisi, walitakiwa kuchuchumaa na kisha kupelekwa katika chumba maalum na baadaye kuingizwa mahakamani.
Waendesha mashtaka wa Serikali, Tumaini Kweka, Abdallah Chaula na Tresla Garvas mbele ya Hakimu Mfawidhi, Martha Mahumbuga na Hakimu Mkazi Mkuu, Salome Mshasha wamesema Sabaya na wenzake walitenda makosa hayo Januari 20 na Februari 9, 2021.
Kweka amesema Sabaya na wenzake watano anatuhumiwa kwa makosa ya kuunda genge la uhalifu, uhujumu uchumi, kujipatia fedha kwa njia ya rushwa na utakatishaji fedha ambapo Sabaya alijipatia Sh90 milioni kutoka kwa mfanyabiashara, Francis Mroso mkazi wa kwa Mromboo ambaye alikuwa anatuhumiwa kwa makosa ya ukwepaji kodi ili amsaidie jambo ambalo ni makosa.
Pia, Sabaya na walinzi wake wawili, Sylivester Nyengu (26) maarufu kicheche na Daniel Mbura (38) wanakabiliwa na makosa mawili ya ujambazi wa kutumia silaha wakidaiwa kuyatenda Februari 9, 2021.
Wanadaiwa walimfunga pingu na kumpiga Bakari Msangi ambaye ni diwani wa CCM kata ya Sombetin na kumuibia Sh390,000 na pia katika eneo la Bondeni jijini Arusha wakitumia silaha, Sabaya na walinzi hao wanatuhumiwa kumpiga, kumtishia silaha na kumpora Ramadhani Ayoub simu na Sh35,000.
Kwa kuwa makosa hayo hayana dhamana watuhumiwa hao walipelekwa mahabusu Gereza Kuu la Kisongo na kesi hiyo kuahirishwa hadi Juni 18, 2021.
Yes. Because he should have all the information of what he is doing. Each and every district have asigned TISS officers, some are undercovers.Do you think JPM sent him to do those criminal things???
Huyu ni mtuhumiwa wa uhalifu siyo Mkuu wa Wilaya! Unataka diplomasia gani tena?MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Kama makosa yenyew ni haya tu jamaa anachomoka asubuhi na mapema sana yaani kabla jogoo hajawika. hapo makosa ni mawili tu akipanchi moja makosa matatu yanadondoka.Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021
View attachment 1808139
View attachment 1808140
View attachment 1808141
=======
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kupokea rushwa.
Sabaya ambaye alisimamishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 13, 2021 kupisha uchunguzi alifikishwa mahakamani hapo akiwa amefungwa pingu na baada ya wote kushuka kwenye magari ya polisi, walitakiwa kuchuchumaa na kisha kupelekwa katika chumba maalum na baadaye kuingizwa mahakamani.
Waendesha mashtaka wa Serikali, Tumaini Kweka, Abdallah Chaula na Tresla Garvas mbele ya Hakimu Mfawidhi, Martha Mahumbuga na Hakimu Mkazi Mkuu, Salome Mshasha wamesema Sabaya na wenzake walitenda makosa hayo Januari 20 na Februari 9, 2021.
Kweka amesema Sabaya na wenzake watano anatuhumiwa kwa makosa ya kuunda genge la uhalifu, uhujumu uchumi, kujipatia fedha kwa njia ya rushwa na utakatishaji fedha ambapo Sabaya alijipatia Sh90 milioni kutoka kwa mfanyabiashara, Francis Mroso mkazi wa kwa Mromboo ambaye alikuwa anatuhumiwa kwa makosa ya ukwepaji kodi ili amsaidie jambo ambalo ni makosa.
Pia, Sabaya na walinzi wake wawili, Sylivester Nyengu (26) maarufu kicheche na Daniel Mbura (38) wanakabiliwa na makosa mawili ya ujambazi wa kutumia silaha wakidaiwa kuyatenda Februari 9, 2021.
Wanadaiwa walimfunga pingu na kumpiga Bakari Msangi ambaye ni diwani wa CCM kata ya Sombetin na kumuibia Sh390,000 na pia katika eneo la Bondeni jijini Arusha wakitumia silaha, Sabaya na walinzi hao wanatuhumiwa kumpiga, kumtishia silaha na kumpora Ramadhani Ayoub simu na Sh35,000.
Kwa kuwa makosa hayo hayana dhamana watuhumiwa hao walipelekwa mahabusu Gereza Kuu la Kisongo na kesi hiyo kuahirishwa hadi Juni 18, 2021.
Daah, wewe jamaa boss wako saivi kalala rumande. Ulipandisha nyuzi nyingi sana humu kumsafisha lakini wapi. Pole sana MlakiDogo mimi ni mtu mwenye msimamo. Unaposema mimi bingwa wa kusifia madhalilu unakosea
Ukiambiwa uthibishe kwa ushahidi kihusu dhalimu utaweza?
Kama Sabaya ana makosa nini kulemba? Kwa nini msianze kusikiliza kesi?
Yes. Na ndiyo aliowapenda Magu kwani ni rahisi kuwa-manipulate.Ukiwa na akili ndogo huwezi kuyaona ya kesho. Makonda, Sabaya and the like, wote ni low IQ.
Sasa diplomasia inahusikaje kwa aliyekua mkuu wa wilayaMKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Mkuu wa wilaya gan mkuu ?MKUU WA WILAYA HANA DHAMANA?
Kidplomasia ikoje
Tuishi na watu (wenzetu) vizuri, sponsor hufariki.Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Ole ngai Sabaya leo tar. 04.06 2021 amefikishwa mahakani akiwa na wenzake watano.
Sabaya peke yake amesomewa mashitaka sita likiwemo la Uhujumu uchumi na utakatishaji fedha pamoja na unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Kesi imeahirishwa mpaka June 18 2021 na watuhumiwa wote wamerudishwa rumande kwani makosa hayo hayana dhamana.
Chanzo cha habari: Azam
View attachment 1808137