Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Kama wa kumpinga inabidi atumie takwimu, za kwake ziko wapi?
 
Nimemsikiliza katoa facts tupu tena kwa data ,hili limewakera sana wafuasi wa Mbowe ,
Inatakiwa serikali ilinde hivi vipaji kwa nguvu nyingi sana
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, hapa unaelezea hizo unazoita facts za Sabaya, lakini inakuwa kama Sabaya alikuwa anafanya hayo ili kushindana na Mbowe. Halafu kwa jinsi usivyo na jipya unamfananisha mbunge, tena wa upinzani dhidi ya mkuu wa Wilaya mwenye kiburi cha madaraka. Hapa naona ni uzi wa kumsafisha Sabaya dhidi ya maovu yake, huku ukitaka tuamini Mbowe alikuwa tatizo huko Hai. Labda utuambie Sabaya alipofika alikuta huko Hai hakuna shule, kituo chochote cha afya, barabara nk, alipofika ndio vikaanza.

Ni wapi nchi hii hakuna mgogoro wa ardhi, ni wilaya ipi haina shule, kituo cha afya nk, ili tumpeleke Sabaya akaanze kutekeleza hayo? Bado mna balance shobo za ccm kwa kutumia mgongo wa cdm?
 
Ni shule kongwe tu ndizo zilipewa peas kwa ajili ya ukarabati. Machame sec school. Lyamungo sec school. Hakuna cha hospital wala zahanati kituo cha afya.
 
Huyu ni chenga kodi zinakusanywa na mkurungezi na timu ya wataalam chini yake, ulinzi unafanywa na OCD wakissimamiwa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa wilaya ambaye ni DC anajipendekeza hizo siyo kazi za mbunge jitambuee
 
Mleta uzi na sabaya wote hawajui kazi za mbunge? sabaya anadanganya kazi za mkurungezi anataka zifanywe na mbunge?
 
Unashida ya akili hoja za mkuu wa wilaya ajibu mbunge kwani mkuu wa wilaya ni mwanasiasa au raisi wa nchi alikuwa haongozi ilo eneo
 
Tutofautishe Siasa na Utendaji! Mbunge ndiye anakusanya ushuru?
 
Kwani wana hai wao wanasemaje

Wanataka maendeleo ya watu au wanataka maendeleo ya vitu??
 
Halafu huyu dogo mwambieni ajiandae ile Kesi yake ya jinai ya kufoji kitambulisho cha tiss na kutapelia kwenye mahoteli inaenda kufufuliwa upya. Kwani aliyemtetea ameshakwendazake motoni.
 
Who is Sabaya? Kwamba eye Sasa ndo anaona ndo mkuu wa wilaya bora kuliko wote waliopita pale? Mbona tuhuma lukuki zinamkabili amekua akizipitia juu bila kutozitolea ufafanuzi wa kina
WATU husema
Ukiona mtu anajisifia kufanya kitu JUA hakuna alilofanya ,Kama umefanya nyamaza tu uliyoyafanya yatajieleza yenyewe, CHEC WATU KAMA MTAKA ,
Tz awamu ya tano imazalisha WATU wa ajabu hasa wengi waliokaa katika kivuli Cha ukatili ili kujipendekeza kulinda vyeo, ila mda ni MWALIM hawatakuja amini macho yao wataondoka dunian kwa mateso ,mungu ni fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…