inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hawalali wenzio,we unasema hawaogopi!!Uzuri Israeli haogopi Mazombi anajipigia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawalali wenzio,we unasema hawaogopi!!Uzuri Israeli haogopi Mazombi anajipigia tu
Umesahau watu 13,000 waliuawa huko Zanzibar bila hatia wakati wa mapinduzi kama ulivyosema?Tafsiri yako ya kutetea ni ipi!?..mkisema ccm haijafanya chochote tangu uhuru,nitasem nyinyi waongo,kwa sababu Mimi nilikua na akili timamu 1986,nilisafiri toka tunduru huko ruvuma mpaka shinyanga,najua adha ya usafiri kipindi hicho,hakuna lami,tope,gari chache,Leo toka Kuna lami kote huko,hapo nitakua naitetea ccm au natetea ukweli!?
Sunday skuli zinawadanganya sana aseewLabda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!
Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?
Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?
Myahudi??? Wale hapana aisee
Na ubaya zaidi hata mutuchukie kwakiwango ganiKwa dunia ya sasa hakuna jamii inayoongoza kuanzisha chochoko zinazoletelea vita kama waislamu
Vita nyingi zinazoendelea duniani asilimia kubwa ni chochoko za waislamu ndio waanzishaji.Uende msumbiji vita ipo waanzilishi wao,uende Sudan wao,uende Somalia wao,hata hii ya Israel ya Gaza wao ndio walilianzisha October 7,ukienda Yemen wao,Iraq wao,Lebanon wao,Iran walianzisha wao kupindua mfalme,Ya Afghanistan wao na Osama wao,kuangusha twin tower marekan wao,kushambulia ubalozi wa Tanzania na Kenya wao,magaidi ya kibiti ,mkuranga na Rufuji wao
Yaani waislamu ni kero kwa dunia
Watakwambia uislamu dini ya amani nyuma wameshika upanga
You can say that againBro, you're really messed up upstairs
Shida ya watoto wa sunday skuli hamujui kwamba ushindi wa vita haupimwi kwa wingi wa vifoUshindi wa mwarabu ni kushangilia vifo vya wayahudi 1200 na mateka wa kiyahudi 250 kisasi kikiwarudia wanauawa waarabu na wapalesitina zaidi ya elfu 30 na bado wanahesabu kuwa wamefanikiwa.
Upo nchi gani🤔Wanaokufa ni binadamu kama Mimi na wewe,kwa hiyo mimi siungi mkono kwa mpalesitina kumuua muyahudi wala muyahudi kumuua mplesitina.
Ninachokijua ni kwamba mara zote wayahudi walipigwa kutokana na kumukasirisha Mungu kwa mambo fulanifulani kwa hiyo Mungu alikuwa anatoa kibali kwa mataifa mengine cha kuwapiga wayahudi ili iwe fundisho kwao kutokana na makosa waliomkosea Mungu.
Ndio maana siyo ajabu kwa Hama's kujipenyeza Israel na kufanya wakitakacho jambo kama hilo linapotokea linatoa funzo kwa wayahudi kutafakari ni wapi walipokosea na niwapi wanapotakiwa kujirekebisha.
Umedai huwa natetea ccm hapa,nikasema sitetei yeyote Bali haki,kuuawa watu 13k mapinduzi Zanzibar kunahusiana vipi na kutetea CCM!?Umesahau watu 13,000 waliuawa huko Zanzibar bila hatia wakati wa mapinduzi kama ulivyosema?
Umeacha kusikia chiefSunday skuli zinawadanganya sana aseew
Ndio maana mnaambiwa muowane huko sunday skuli sababu washajua kama kondoo zao hazina akili
Ndivyo mlidanganyana!?Labda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!
Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?
Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?
Myahudi??? Wale hapana aisee
Israel pale ishajifia tayari.Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.
Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Wewe na Ritz akili zenu mnazijua wenyewe.Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.
Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
ASP ndiyo ccm au wewe una mtazamo gani?Umedai huwa natetea ccm hapa,nikasema sitetei yeyote Bali haki,kuuawa watu 13k mapinduzi Zanzibar kunahusiana vipi na kutetea CCM!?
Sasa huyo shehe atasaidia nini Gamar Nasser aliwaunganisha waarabu wote akaifute israel akafutika mwenyeweMufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.
Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Kila mtu ana mazuri na mabaya,kisa mfanya mabaya basi akifanya mazuri tusimsifie!!?ASP ndiyo ccm au wewe una mtazamo gani?
Serikali yenye akili hawezi kusikiliza kiongozi wa kidiniMcha Mungu huyo, tena ni mswahili mwenzetu.
Sema serikali ya kinafik haitomsikiliza.
Na Myahudi ana mazuri mengi tu. Uwe unamsifia humu mara moja mojaKila mtu ana mazuri na mabaya,kisa mfanya mabaya basi akifanya mazuri tusimsifie!!?
Uyahudi ni Imani,unazungumzia myahudi yupi?Na Myahudi ana mazuri mengi tu. Uwe unamsifia humu mara moja moja
Ni vyote. Uyahudi ni imani ni race na ethinicity. Sifia chochote bado kitakuwa cha Kiyahudi. Kiwe imani, race au ethinicityUyahudi ni Imani,unazungumzia myahudi yupi?
Haiwezi kuwa ethnicity,Kuna wayahudi race mbalimbaliNi vyote. Uyahudi ni imani ni race na ethinicity. Sifia chochote bado kitakuwa cha Kiyahudi. Kiwe imani, race au ethinicity