Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Tafsiri yako ya kutetea ni ipi!?..mkisema ccm haijafanya chochote tangu uhuru,nitasem nyinyi waongo,kwa sababu Mimi nilikua na akili timamu 1986,nilisafiri toka tunduru huko ruvuma mpaka shinyanga,najua adha ya usafiri kipindi hicho,hakuna lami,tope,gari chache,Leo toka Kuna lami kote huko,hapo nitakua naitetea ccm au natetea ukweli!?
Umesahau watu 13,000 waliuawa huko Zanzibar bila hatia wakati wa mapinduzi kama ulivyosema?
 
Labda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!

Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?

Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?

Myahudi??? Wale hapana aisee
Sunday skuli zinawadanganya sana aseew
Ndio maana mnaambiwa muowane huko sunday skuli sababu washajua kama kondoo zao hazina akili
 
Kwa dunia ya sasa hakuna jamii inayoongoza kuanzisha chochoko zinazoletelea vita kama waislamu

Vita nyingi zinazoendelea duniani asilimia kubwa ni chochoko za waislamu ndio waanzishaji.Uende msumbiji vita ipo waanzilishi wao,uende Sudan wao,uende Somalia wao,hata hii ya Israel ya Gaza wao ndio walilianzisha October 7,ukienda Yemen wao,Iraq wao,Lebanon wao,Iran walianzisha wao kupindua mfalme,Ya Afghanistan wao na Osama wao,kuangusha twin tower marekan wao,kushambulia ubalozi wa Tanzania na Kenya wao,magaidi ya kibiti ,mkuranga na Rufuji wao

Yaani waislamu ni kero kwa dunia

Watakwambia uislamu dini ya amani nyuma wameshika upanga
Na ubaya zaidi hata mutuchukie kwakiwango gani
Ukweli nikwamba hakuna mwenye ubavu wa kuufanya uislamu usizidi kunawiri duniani hakuna
 
Ushindi wa mwarabu ni kushangilia vifo vya wayahudi 1200 na mateka wa kiyahudi 250 kisasi kikiwarudia wanauawa waarabu na wapalesitina zaidi ya elfu 30 na bado wanahesabu kuwa wamefanikiwa.
Shida ya watoto wa sunday skuli hamujui kwamba ushindi wa vita haupimwi kwa wingi wa vifo
Sunday skuli mnaenda kupoteza muda tuuuu
 
Wanaokufa ni binadamu kama Mimi na wewe,kwa hiyo mimi siungi mkono kwa mpalesitina kumuua muyahudi wala muyahudi kumuua mplesitina.

Ninachokijua ni kwamba mara zote wayahudi walipigwa kutokana na kumukasirisha Mungu kwa mambo fulanifulani kwa hiyo Mungu alikuwa anatoa kibali kwa mataifa mengine cha kuwapiga wayahudi ili iwe fundisho kwao kutokana na makosa waliomkosea Mungu.

Ndio maana siyo ajabu kwa Hama's kujipenyeza Israel na kufanya wakitakacho jambo kama hilo linapotokea linatoa funzo kwa wayahudi kutafakari ni wapi walipokosea na niwapi wanapotakiwa kujirekebisha.
Upo nchi gani🤔
Kama upo Tanzania ntapeleka ombi ama wazo hapo Tanzania kwetu hizo Sunday skuli zifungwe
Ndio ujinga munaomezeshwa huu kumbe asee dah!!!
 
Sunday skuli zinawadanganya sana aseew
Ndio maana mnaambiwa muowane huko sunday skuli sababu washajua kama kondoo zao hazina akili
Umeacha kusikia chief

Masikio yako hayasikii vizuri tena, hiyo ilikuwa ni sauti ya mwalimu wa madrasa alipotaka kumlawiti mwajuma
 
Labda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!

Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?

Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?

Myahudi??? Wale hapana aisee
Ndivyo mlidanganyana!?
Hiyo six days war ilihusisha Syria na Egypt.
Ila mkalishwa Matango pori.
Pia usisahau kuna kundi linaitwa HIZBOLLAH pale Lebanon lishampiga sana Israel na hadi sasa linamchapa hapo kaskazini.
Israel Hizbollah peke yake inamtosha.
Nchi inaweza kumuangamiza kama kundi dogo tu la Hamas limempa tabu mpaka sasa.
 
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.

Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.

Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Israel pale ishajifia tayari.
Kinachomuokoa Israel ni USA na UK na baadhi ya nchi za kiarabu kumuunga mkono.
 
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.

Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.

Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Wewe na Ritz akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Sasa huyo shehe atasaidia nini Gamar Nasser aliwaunganisha waarabu wote akaifute israel akafutika mwenyewe
 
Mcha Mungu huyo, tena ni mswahili mwenzetu.

Sema serikali ya kinafik haitomsikiliza.
Serikali yenye akili hawezi kusikiliza kiongozi wa kidini
Mwenye Akili za ajabu kuingiza nchi vitani kwa chuki zake za kipambavu
Uislamu si wanasema ni Dini ya amani kwanini anataka kuuchafua uislamu
 
Back
Top Bottom