Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa wewe wapongeze kwa vyovyote vile maana wana mazuri mengi sanaHaiwezi kuwa ethnicity,Kuna wayahudi race mbalimbali
Yapi!?Sawa wewe wapongeze kwa vyovyote vile maana wana mazuri mengi sana
NATO kuwasaidia mazayuni na kuioiga nchi yoyote inayowatetea Wapalestina wanamchafua nani.Serikali yenye akili hawezi kusikiliza kiongozi wa kidini
Mwenye Akili za ajabu kuingiza nchi vitani kwa chuki zake za kipambavu
Uislamu si wanasema ni Dini ya amani kwanini anataka kuuchafua uislamu
Race haihusiani na uyahudi.Ni vyote. Uyahudi ni imani ni race na ethinicity. Sifia chochote bado kitakuwa cha Kiyahudi. Kiwe imani, race au ethinicity
kichwani zimo kwel ? hao wayaudi wanaosumbuliwa na Hamas ndo mnataka kutudanganya kuwa wao wameanzia makundi ya wavaa kobazi ?Huwajui vizuri wayahudi wewe rudi katika shule ya historia hao jamaa hawafai
kichwan zimo kwel ? kwa akili hizo sheikh akikudanganya lolote huchomoku , yaan kweny vita mtu apigwe shaba asife kisa yeye ni myaudi na mlengaji ni mwaarabuHapo zamani ilidhaniwa myahudi hata mmoja hawezi kuuliwa na muarabu ikizingatiwa vita vya siku 7 na jinsi wanavyoweza kujiokoa kama kule Entebe. Kama kweli mayahudi wapatao 1200 waliuliwa basi aliyewaua atakuwa alipata ushindi.
kichwani hazimo weweAnayepiga ni muisrael halafu unasema anayechokoza ni muislamu.Akili gani hiyo uliyonayo
Pale Israel kuna rangi kama 3, original jews hawa wanafanana na Araba jamii ya kikrudi, wayahudi wazungu mchanganyiko, sura ya kizungu lakini nywele ni mchanganyiko ndo akina Netanyahau , wayahudi blackWaliojenga pyramid walitawala mpaka Israel ya Leo,Tena mmoja alikua mnubi,black kuliko wewe, biblia inasema yesu alikua na rangi ya shaba,netanyahu Hana rangi ya shaba,ni mzungu,Ila mo Salah ana rangi ya shaba Kama yesu
Kwa dunia ya sasa hakuna jamii inayoongoza kuanzisha chochoko zinazoletelea vita kama waislamu
Vita nyingi zinazoendelea duniani asilimia kubwa ni chochoko za waislamu ndio waanzishaji.Uende msumbiji vita ipo waanzilishi wao,uende Sudan wao,uende Somalia wao,hata hii ya Israel ya Gaza wao ndio walilianzisha October 7,ukienda Yemen wao,Iraq wao,Lebanon wao,Iran walianzisha wao kupindua mfalme,Ya Afghanistan wao na Osama wao,kuangusha twin tower marekan wao,kushambulia ubalozi wa Tanzania na Kenya wao,magaidi ya kibiti ,mkuranga na Rufuji wao
Yaani waislamu ni kero kwa dunia
Watakwambia uislamu dini ya amani nyuma wameshika upanga
Israel kupigana na Yemen itakuwa ni mtego mkubwa kwa taifa hilo dhalimu.Kwa upande mwengine itawasaidia sana Hizbullah na Hamas.Aliyepiga Yemen ni muunganiko wa marekani,saudia na misri, Yemen wao wamesema aliyesaidia vyuma vitatua kwake,so saudia washaanza kujitetea,kitachifwata ni Israel kubaki mwenyewe kwenda kupiga Yemen kitu ambacho kimiundombinu hawezi,ndiyo maana kajitetea mapema kwamba alipiga mwenyewe bila msaada wa yeyote
Halafu mimi nilifikiri kwa jinsi wahuni wa Houth walivyokuwa na nia ya kupambana na Israel nikahisi baada ya na wao kushambuliwa na Israel walianzisha hadi dunia ikasimama. Lakini matokeo yake wameufyata na kuanza eti kuungwa mkono no mifti! Ahahahahaha!!!Labda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!
Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?
Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?
Myahudi??? Wale hapana aisee
Hamas ishaga isha.. Sinwar yuko mapangoni...Israel kupigana na Yemen itakuwa ni mtego mkubwa kwa taifa hilo dhalimu.Kwa upande mwengine itawasaidia sana Hizbullah na Hamas.
Kwa eneo Yemen ilipo na uwezo ilionao pamoja na nia ya kutorudi nyuma Israel itakuwa tabu kuipiga.
Ili kuipiga Yemen ni lazima ndege za Israel zivuke mipaka ya nchi ambazo tayari nazo zimeshaonesha dalili za kutotaka kuisaidia Israel wala kuwazuia Houth.
Mitambo mingi ya Houth na kambi zao ziko ndani ya milima na ndege pekee za Israel hazitoweza kupenya na kuwamaliza.Yemen imebarikiwa milima inayofanana na Afghanistan.Ingekuwa ni rahisi basi mashambulizi ya gharama kubwa yaliyofanywa na Marekani na Uiengereza yangekuwa yameshawamaliza.
Maeneo ya kwetu kuna mito mkubwa ambayo huporomosha maji kwa kasi ya ajabu hasa hasa kipindi cha masikaHalafu mimi nilifikiri kwa jinsi wahuni wa Houth walivyokuwa na nia ya kupambana na Israel nikahisi baada ya na wao kushambuliwa na Israel walianzisha hadi dunia ikasimama. Lakini matokeo yake wameufyata na kuanza eti kuungwa mkono no mifti! Ahahahahaha!!!
sio watu wote wanaovuka mito kwa kutumia majiti.Wengine utawaona kama wagonjwa lakini anapita mtoni kwa kuogolea mara moja.Maeneo ya kwetu kuna mito mkubwa ambayo huporomosha maji kwa kasi ya ajabu hasa hasa kipindi cha masika
Sasa, kipindi hicho mito ikifurika kuna mahitaji ambayo ni maalumu unajua
Utakuta yapo upande wa pili ya mto, sasa kuna wale wa kwenda tu licha ya kuambiwa mto haupitiki,
Akishafika mtoni anachukua jiti ili limwongoze na ajue ni wapi anaweza kupita
Atakapoanza kwenda, huku mwanzoni utaona anakwenda vema tu wakati huo huo moyoni anasikia ile sauti ile aloambiwa kuwa mto haupitiki
Akisha vuta miguu mitano hivi, ule wa sita, anajikuta amekanyaga penye kina zaidi, mara haonekani na mto unafanya kazi yake
Ndio hao wahouth, wanajua fika kabisa, Myahudi siyo wa kujaribishia, ni mtu hatari
Sasa walitaka kujaribu waone iwapo wataupita mto mwamanonga!
Israel ana super nuclear haina kazi, hata waarabu wote, anaweza choma karibia wote ili kije kizazi kitakachokuwa na heshma na adabu.Subiri tuone iwapo huyo mwamba Israel bado amebakiwa na nguvu ile iliyotajwa katika historia.
Nyuklia hakuna sehemu ataipiga ambapo hatodhurika mwenyewe.Nyuklia ni silaha za maonesho tu.Urusi wala Marekani hawatazitumia tena.Israel ana super nuclear haina kazi, hata waarabu wote, anaweza choma karibia wote ili kije kizazi kitakachokuwa na heshma na adabu.