Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Wakijirusha ufahamu wakajifinya kuichangia Israel na US nayo inaingia Vitani kutoa Dozi.
 
Serikali yenye akili hawezi kusikiliza kiongozi wa kidini
Mwenye Akili za ajabu kuingiza nchi vitani kwa chuki zake za kipambavu
Uislamu si wanasema ni Dini ya amani kwanini anataka kuuchafua uislamu
NATO kuwasaidia mazayuni na kuioiga nchi yoyote inayowatetea Wapalestina wanamchafua nani.

Sheikh kuwahimiza Waislam wenzake kawa "mpumbavu"?

Umenithibitishia kuwa kila anaewaona wenzake wapumbavu yeye ndiye mpumbavu wa kwanza.

Amani maana yake ukipigwa la kushoto ugeuze na la kulia?

Punguwani wahed.
 
Ni vyote. Uyahudi ni imani ni race na ethinicity. Sifia chochote bado kitakuwa cha Kiyahudi. Kiwe imani, race au ethinicity
Race haihusiani na uyahudi.

Wengi wanojiita mayahudi waliopo israel siyo mayahudi.

Ethnicity ya wengi waliohamia israel siyo ya kiyahudi.

Umejichanganya sana, nafahamu ni kwa kujazwa ujinga na ukakujaa.
 
Kama ni hivyo 1967 Six days War siyo muda mrefu historia itajirudia.
 
hahaha shida ya magaidi wanyonge wakiachwa wanavimba wakipigwa wanatoa milio ya huzuni
 
Huwajui vizuri wayahudi wewe rudi katika shule ya historia hao jamaa hawafai
kichwani zimo kwel ? hao wayaudi wanaosumbuliwa na Hamas ndo mnataka kutudanganya kuwa wao wameanzia makundi ya wavaa kobazi ?
 
Hapo zamani ilidhaniwa myahudi hata mmoja hawezi kuuliwa na muarabu ikizingatiwa vita vya siku 7 na jinsi wanavyoweza kujiokoa kama kule Entebe. Kama kweli mayahudi wapatao 1200 waliuliwa basi aliyewaua atakuwa alipata ushindi.
kichwan zimo kwel ? kwa akili hizo sheikh akikudanganya lolote huchomoku , yaan kweny vita mtu apigwe shaba asife kisa yeye ni myaudi na mlengaji ni mwaarabu

Makundi mengi ya kigaidi ni yakiislam sababu waislam ni wajinga kwa kiwango kikubwa
 
Waliojenga pyramid walitawala mpaka Israel ya Leo,Tena mmoja alikua mnubi,black kuliko wewe, biblia inasema yesu alikua na rangi ya shaba,netanyahu Hana rangi ya shaba,ni mzungu,Ila mo Salah ana rangi ya shaba Kama yesu
Pale Israel kuna rangi kama 3, original jews hawa wanafanana na Araba jamii ya kikrudi, wayahudi wazungu mchanganyiko, sura ya kizungu lakini nywele ni mchanganyiko ndo akina Netanyahau , wayahudi black
 
Kwa dunia ya sasa hakuna jamii inayoongoza kuanzisha chochoko zinazoletelea vita kama waislamu

Vita nyingi zinazoendelea duniani asilimia kubwa ni chochoko za waislamu ndio waanzishaji.Uende msumbiji vita ipo waanzilishi wao,uende Sudan wao,uende Somalia wao,hata hii ya Israel ya Gaza wao ndio walilianzisha October 7,ukienda Yemen wao,Iraq wao,Lebanon wao,Iran walianzisha wao kupindua mfalme,Ya Afghanistan wao na Osama wao,kuangusha twin tower marekan wao,kushambulia ubalozi wa Tanzania na Kenya wao,magaidi ya kibiti ,mkuranga na Rufuji wao

Yaani waislamu ni kero kwa dunia

Watakwambia uislamu dini ya amani nyuma wameshika upanga
 
Attachments

  • IMG_5039.jpeg
    IMG_5039.jpeg
    417.9 KB · Views: 1
Aliyepiga Yemen ni muunganiko wa marekani,saudia na misri, Yemen wao wamesema aliyesaidia vyuma vitatua kwake,so saudia washaanza kujitetea,kitachifwata ni Israel kubaki mwenyewe kwenda kupiga Yemen kitu ambacho kimiundombinu hawezi,ndiyo maana kajitetea mapema kwamba alipiga mwenyewe bila msaada wa yeyote
Israel kupigana na Yemen itakuwa ni mtego mkubwa kwa taifa hilo dhalimu.Kwa upande mwengine itawasaidia sana Hizbullah na Hamas.
Kwa eneo Yemen ilipo na uwezo ilionao pamoja na nia ya kutorudi nyuma Israel itakuwa tabu kuipiga.
Ili kuipiga Yemen ni lazima ndege za Israel zivuke mipaka ya nchi ambazo tayari nazo zimeshaonesha dalili za kutotaka kuisaidia Israel wala kuwazuia Houth.
Mitambo mingi ya Houth na kambi zao ziko ndani ya milima na ndege pekee za Israel hazitoweza kupenya na kuwamaliza.Yemen imebarikiwa milima inayofanana na Afghanistan.Ingekuwa ni rahisi basi mashambulizi ya gharama kubwa yaliyofanywa na Marekani na Uiengereza yangekuwa yameshawamaliza.
 
Labda ingesaidia angetoa wito wa nchi zote za wavaa kobazi!

Lakini hii ya vinchi viwili tu...! Maana kule nyuma nchi zaidi ya Sita zilijaribu kufanya hivyo lakini wapi..?

Labda mambo hubadirika pengine wanaweza angusha mwembe chini ya mwarobaini?

Myahudi??? Wale hapana aisee
Halafu mimi nilifikiri kwa jinsi wahuni wa Houth walivyokuwa na nia ya kupambana na Israel nikahisi baada ya na wao kushambuliwa na Israel walianzisha hadi dunia ikasimama. Lakini matokeo yake wameufyata na kuanza eti kuungwa mkono no mifti! Ahahahahaha!!!
 
Israel kupigana na Yemen itakuwa ni mtego mkubwa kwa taifa hilo dhalimu.Kwa upande mwengine itawasaidia sana Hizbullah na Hamas.
Kwa eneo Yemen ilipo na uwezo ilionao pamoja na nia ya kutorudi nyuma Israel itakuwa tabu kuipiga.
Ili kuipiga Yemen ni lazima ndege za Israel zivuke mipaka ya nchi ambazo tayari nazo zimeshaonesha dalili za kutotaka kuisaidia Israel wala kuwazuia Houth.
Mitambo mingi ya Houth na kambi zao ziko ndani ya milima na ndege pekee za Israel hazitoweza kupenya na kuwamaliza.Yemen imebarikiwa milima inayofanana na Afghanistan.Ingekuwa ni rahisi basi mashambulizi ya gharama kubwa yaliyofanywa na Marekani na Uiengereza yangekuwa yameshawamaliza.
Hamas ishaga isha.. Sinwar yuko mapangoni...

Yemen kwa sasa ni kuna nchi mbili, wao walishaga kuwa wala mirungi hawana mawazo na nchi Yao tena
 
Halafu mimi nilifikiri kwa jinsi wahuni wa Houth walivyokuwa na nia ya kupambana na Israel nikahisi baada ya na wao kushambuliwa na Israel walianzisha hadi dunia ikasimama. Lakini matokeo yake wameufyata na kuanza eti kuungwa mkono no mifti! Ahahahahaha!!!
Maeneo ya kwetu kuna mito mkubwa ambayo huporomosha maji kwa kasi ya ajabu hasa hasa kipindi cha masika

Sasa, kipindi hicho mito ikifurika kuna mahitaji ambayo ni maalumu unajua

Utakuta yapo upande wa pili ya mto, sasa kuna wale wa kwenda tu licha ya kuambiwa mto haupitiki,

Akishafika mtoni anachukua jiti ili limwongoze na ajue ni wapi anaweza kupita

Atakapoanza kwenda, huku mwanzoni utaona anakwenda vema tu wakati huo huo moyoni anasikia ile sauti ile aloambiwa kuwa mto haupitiki

Akisha vuta miguu mitano hivi, ule wa sita, anajikuta amekanyaga penye kina zaidi, mara haonekani na mto unafanya kazi yake

Ndio hao wahouth, wanajua fika kabisa, Myahudi siyo wa kujaribishia, ni mtu hatari

Sasa walitaka kujaribu waone iwapo wataupita mto mwamanonga!
 
sio watu wote wanaovuka mito kwa kutumia majiti.Wengine utawaona kama wagonjwa lakini anapita mtoni kwa kuogolea mara moja.
Ingekuwa watu wote waogope maji ya kina kirefu basi tusingekula samaka hata mmoja.
 
Subiri tuone iwapo huyo mwamba Israel bado amebakiwa na nguvu ile iliyotajwa katika historia.
Israel ana super nuclear haina kazi, hata waarabu wote, anaweza choma karibia wote ili kije kizazi kitakachokuwa na heshma na adabu.
 
Israel ana super nuclear haina kazi, hata waarabu wote, anaweza choma karibia wote ili kije kizazi kitakachokuwa na heshma na adabu.
Nyuklia hakuna sehemu ataipiga ambapo hatodhurika mwenyewe.Nyuklia ni silaha za maonesho tu.Urusi wala Marekani hawatazitumia tena.
 
Jeshi la Omani hata sisi Tanzania tunaweza kujichapia tu JW TZ tunaweza kuingilia Salala tukapiga mpaka Muscat.
 
Back
Top Bottom