Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Watu wanafikiria sijui kupigwa
Wakati sahv wanatakiwa wakamate fursa wapeleke wanyama huko mbuzi, kondoo, ngombe etc

Ova
 
Kwenye kerne ya 14 na 16 hawa Oman walisafirisha wanadamu kama watumwa. Leo raisi wa Tanzania anaenda kuwasaidia kusafirisha wanyama
 
Sukuma gang kazini
 
Hilo la wanyama pori umelitoa wapi?

Hizo chuki zenu huwa zinawasaidia kulamba asali?

Hilo la Wanyamapori hai umelitoa wapi?

Kwa Samia mtahangaika Sana aisee
Wachangamkie sasa fursa wapeleke mbuzi, ngombe, kondoo, asali nk
Haya mambo sijui tunapigwa blhblh

Hauendi popote zaidi ya kila siku kulialia tu

Waamke wakamatie fursa hiyo

Ova
 
Miaka nenda rudi wakomoro wananuaga wanyama waliyokufa

Au

Ova
 
Wachangamkie sasa fursa wapeleke mbuzi,ngombe,kondoo,asali nk
Haya mambo sjui tunapigwa blhblh
Hauendi popote zaidi ya kila siku kulialia tu
Waamke wakamatie fursa hiyo

Ova
Madhara ya ujamaa,ndio maana namlaumugi Sana Baba wa Taifa maana alijenga jamii ya watu walalamishi,Wenye kulaumu na kukosoa kila kitu huku akili zao zikiwa tegemezi kwa Serikali.
 
#Ukiona unasifiwa sana na wazungu ujue nimeshaiuza nchi" aliemaga hili SAMORA
 
Kila kitu nyie sukuma gang ni kulalamika. Hamia Burundi
 
Hapa wanaua viwanda vya ndani.

Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.

Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
 
That's is good. Kuna watu watakuwa wanafikiria twiga wetu tu!!

Ila nimemsikiliza Rais wa Tanzania Chamber of Commerce kaioongea halafu nikamsikiliza wa Omani. Kwa kweli wa Tanzania hakuwa amejiandaa. Anazungumzia kwa kumention tu kuwa inatakiwa tuwe na Trust, confidence and transparent between us and investors .... yaani politics tu. Hakujaribu hata kumarket potential na opportunities ambazo zinatawaatract investors. Inawezekana kukawa na closed door discussion watazungumzia hayo. Nasema hivyo kwa vile his counterpart from the Ministry of Trade kamwaga madini na kaauza nchi yake utafikiri ni wao ndiyo wanaotafuta hizo opportunities na wawekezaji zaid yetu. Kapresent mpaka PP ..... amezungumzia why you should invest in Oman, opportunities and incentives as well as the geographical location.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…