Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Madhara ya ujamaa,ndio maana namlaumugi Sana Baba wa Taifa maana alijenga jamii ya watu walalamishi,Wenye kulaumu na kukosoa kila kitu huku akili zao zikiwa tegemezi kwa Serikali.
Huu siyo muda wa kulalamika
Fursa inatokea waitumie
Si umeona uhuru alivyowafungulia wakenya soko la avocado China etc
Wakenya wamechangamkiaaaa
Ndomana wanakja mpaka hku kununua....sisi tunabakia tunalialia

Ova
 
Rafiki yetu mpendwa muda uamue kwa uaminifu lakini pia safari hii utukumbushe na muda wa nyuma! ili tuweze kuwa na simulizi tamu kwa wajukuu zetu zilitakazo jaa uchungu kwao.
MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Hapa wanaua viwanda vya ndani.

Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.

Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Wewe umekatazwa kusindika na kuuza nyama nje? Hilo ni suala la serikali?
Ukiona mtu mda wote ni mlalanishi unajua kabisa hana future,endelea kulalamika na kulaumu uone utakachokipata..
 
Hapa wanaua viwanda vya ndani.

Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.

Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Hiyo ni export nchi itapata fedha za kigeni...
Mambo ya viwanda sisi kwa ss hatuwezi kuvifungua na kuanzisha
Blhblh tu
Export wafanya biashara wa mifugo watafurahi sana

Ova
 
Mmhhh hatuna cha kufanya!! hv swala la katiba liliishia wapi,!!?
mambo ya kuzuia wanyama Pori kusafirishwa nje ya nchi yaliyakiwa yakatazwe kwenye katiba.
Tunajivunia mbuga yetu ya Serengeti hv ikitoweka tutalingia nini sisi?
Vipo vitu vingi vya kulalamikia kuliko hivi ambavyo havikupi faida yoyote. Mimi hiyo mbuga haina faida wala hasara kwangu.
 
Watasafirisha wanyama kwa mfumo gani, au ndo utaletwa mfumo ule wa stakabadhi za ghala?
 
Kwamba kusafirisha ngombe n.k. wakiwa hai ndio profitable ? what about ngozi na mambo mengine (na ile stress ya kwenye safari)?!!!! It is proven processed product ni rahisi kuisafirisha na more profitable....

Eti mkao wa kula...., kwa hili nadhani ni mkao wa kuliwa....

Yaani hii awamu badala ya kuwaza sera za kuwa productive ni sera za kuwapa tu watu wafanye / wawafanyie..., hii ni mentality ya kibwanyenye ambayo mwisho wake ni kuwa watumwa physically sababu mentally tayari ni watumwa....

Kwa kweli sifurahishwi na mwenendo wa mambo..., na je haya yalipitia Bungeni au yanamaliziwa behind closed doors !!!!, Let the record show kwa watukuu na vijukuu vijavyo kwamba mimi mwenye hii Pen Name KeyserSoze..., sikubaliani na yanayoendelea....
 
Vipo vitu vingi vya kulalamikia kuliko hivi ambavyo havikupi faida yoyote. Mimi hiyo mbuga haina faida wala hasara kwangu.
Mtazamo wako ni mwembamba sana katika hili indirectly mbuga inakunufaisha. Serekali inakusanya kodi hapo
 
M
Mama yuko sahihi. Huko Arusha wakati huu bei ya mbuzi, kondoo na ng'ombe havishikiki. Sababu. Kufuatia kufungua nchi , solo kuu la mifugo ni Kenya ambapo pia ni mapito tu wakipelekwa Somalia na hata Sudan Kusini. Hivyo, mkakati wa mama utaondoa middlemen kama hao wa Kenya. Tuaondoe hofu na kuanza kujipanga kwa kuchangamkia fursa baada ya chi kufunguliwa.
 
Umekosea kuweka reference ya mtu aliyekuwa anaua biashara mpaka raia wake
 
Kenya ananunua tz na yeye anapeleka gulf huko na kwengineko

Si bora sasa wabongo wakauze direct
Kama kumuzia mkenya watamuuzia kwa bei ya kuringa

Ova
 
Juhudi zako za kumpamba Mama ili JPM asionekane wa maana hazitazaa matunda! Ulimpiga vita sana JPM tunakujua, sasa ona anavyong'ara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…