Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Why Kalemani ,is kalememani the only Tanzanian who requires to benefit our national cake, don't we have any Tanzanian who can fit to that position?

Tuache porojo,huyo kashatoka!!
 
Si ameshakutajia hapo na.matokeo tuliyaona chini ya kalemani.
Ame mtaja Nape. Ila hata uyo Kalemani ni Mungu? Kila mtu na utaratibu wake wa kuedesha nchi kama hakupendi basi kaa pembeni. Kalem ni msanii sana hakuna hata cha maana alicho fanya ni kuzurura na camera tu
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Kinachokusumbua wewe kila siku ni cheti feki ,kwani ndiye aliyekufanya usisome na utumie vyeti vya watu , amini kilichokupata ni sahihi hata ufanyeje marehemu haumii huko aliko, ila wewe chamoto unakipata ulichostahili.
 
Reactions: nao
Magufuli aliku raisi mzuri ila sasa kwnini mna tukana walio mrithi? Na kukosoa kila kitu?
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Ukisikia roho mbaya na ushamba ndio kama hu sasa; mtu kujua kuongea vizuri ndio kitu gani sasa? Unaweza kumchukia mtu kwasababu nyingine but sio kwa kuongea kwake vizuri; hivi enzi za Kaleman asiejua kiswahili na enzi za January anaejua kuongea vizuri wapi umeme ulikua stable? Nadhani tungezingatia matokea ya kazi badala ya kuangalia nani anajua kuongea vizuri; huko kuongea vizuri kusaidie kwa wadada wanapopigwa sound sio kwenye mamb o ya maana!
 
Wa kurudishiwa wizara hapa ni Dr. CHAMURIHO TU (SIKUONA MANTIKI YA KUMNYANG'ANYA WIZARA)!
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??

What are you trying to imply??

Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
Yeye ndio kajichagulia enzi za jpm aliomba awe pm afu nape aliomba fedha wizara.
Walimwambia Mana walijua kwa uhakika kuwa wao ndio nchi Yao ama ccm Yao tu hakuna wengine.
Pia hii Hali huwa naona tofauti jinsi wanyama wengine wanavyokula wengine. Nyumbu wapo hata buku wanasimama wanashuhudia mmoja wao analiwa hata na Simba/chui mmoja ama wawili Ila wanashindwa kushirikiana na kuwafukuza hao wanaomla mwenzao
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Kwa hiyo Mabeyo ni Uchuro siyo,,kwa kuwa ni Musukuma
 
Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Bado tu unaendeleza Uongo tulioambiwa na January?.
Alituambia Maintenance badae akasema Maji yamepugua na akachukua helkopita akaanza kutembelea mabwawa ya maji. Au wewe hukuona?

Juzi wakasema wanafanya matengeneza na wakatao ratiba, Jana naibu waziri akasema wameamua kutumia umeme wa gesi ili kusiwe na mgao.

Hii janja janja hadi lini?.
 
Why Kalemani ,is kalememani the only Tanzanian who requires to benefit our national cake, don't we have any Tanzanian who can fit to that position?

Tuache porojo,huyo kashatoka!!
Katosha lini sasa huyu January. Kila siku Mgao.

Kalemani knows the Insitituion. Angalau tuendelee nae ili tubenefit sote.

Kama unaishi maisha mazuri wala huwazii wenzako huwezi nielewa hapa.

Watu wanaharibiwa biashara sana, na hii inaapa mashaka na uongozi uliopo. Biashara kama saloon, samaki, juice, soda, uchomeleaji n.k

Wewe unaishia kuangalia tu Makamba akibenefit.
 
Hao ni vijana wa jk. Mama analipa fadhila kubeba vichwa vya panzi. Hamna kitu ila ujuzi wa kupiga hela ya umma.
 
Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.
Ukipewa uhuru wa kuandika jamiiforum ni kulalamika tu, sasa hebu tupe mapendekezo yako nani alistahili?
Si amesema yeye anaweza? Tafuta CV yake mpe kazi kama ni wewe unazigawa...unamwambia as if wewe ndiyo mgawaji wa hizo kazi!
 
Tatizo la Kalemani ni kutudanganya umeme wa Mwl Nyerere utawashwa 2022 wakato hata robo tatu ya matengenezo bado....Tusipende kukosa objectivity...Kama huyu wa sasa hafai haina maana na Kalemani anafaa lets not be obsessed with individual interests!
 
Kalemani anapaweza sn sema maza udini unamtesa sn
 
Viwanda hatutaki labda wizara ya Maji
 
January Makamba

Novemba 2010 - Mbunge ; jimbo la Bumbuli

7 May 2012 – 5 November 2015 - Naibu Waziri Mawasiliano, sayansi na Teknolojia

12 December 2015 – 21 July 2019 - Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais

12 September 2021 - Waziri wa Nishati

Serikali zetu za Kiafrika huwa zinaundwa na watu walewale tu....

Ni kama kuna kuna kundi maalum la watawala na watawaliwa
 
Kalemani ana kipi hasa cha zaidi? labda ungesema mama atafute mtu mwingine kutoka kitaa huku....ila kama ni Kalemani bora huyo huyo Makamba.... tunataka watu flexible wenye exposure na sio rigid and mechanical people ambao exposure ni zero...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…