Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Kalemani SI Msukuma per se.
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Sikufahamu vizuri Ila nadhani hata kijana wangu wa darada la sita B atakua amekuzidi akili mbali Sana!
 
Unahangaika kumjibu mtu ambae akiwa nyumbani mwenyewe anaangalia pono tu, hawajui lipi jema lipi baya
 
Saivi wanatuambia nyumba ya Mungu kina kimepungua
 
Nasikia jamaa anapelekewa schedule maintenance, anachomoa, jamani grease inahitajika, oil chafu, hataki,
Na wataalam WA hayo mainjini wanasema tulikuwa tunaelekea kuunguza kabisa ma turbines!

Hatari Sana! Kisa kumfurahisha mwendakuzimu!
Maintenance za mitambo inayopelekea mgao wa umeme inafanyika Tanzania tu?, Kwamba umeme uzimwe ili mitambo iwekewe grease?
Tutaendelea Kua mtaji wa wanasiasa kwa akili hizi
 
Maintenance za mitambo inayopelekea mgao wa umeme inafanyika Tanzania tu?, Kwamba umeme uzimwe ili mitambo iwekewe grease?
Tutaendelea Kua mtaji wa wanasiasa kwa akili hizi
Sawa engineer na mtaalam wa mitambo!
 
Kwani Kalemani ana uwezo gani? Nini cha ajabu alichonacho?

CV iliyompeleka kuwa Waziri wa Nishati ni kwamba yeye alikuwa ni cousin brother (BINAMU) wa Magufuli.

Hatutaki tena watu waliopendelewa na DIKTETA kurudi madarakani
 
Ila mnataka kupendelea wa Msoga au sio?

Kwa sitaili hili wacha tulale gizani na hari izidi kuwa ngumu kwa wasio na uwezo wa kununua generator.
 
Sasa mbona mambo yalisonga kuliko sasa?.

Auliyepo uwezo ni mdogo zaidi?
Yalisonga ama walikuwa wanakata kimya kimya bila kutangaza?

Umesahau walificha
--taarifa za kipindupindu, Zika,korona na hata kuugua kwa jini kulifanywa Siri?? Jini alikuwa na akili za kipumbavu sana
 
Attack the idea, don't attack people.
Which point did you make here? Kwamba humjui kalemani? Au ni chuki ndio zinakutia upofu? So for five years mabwawa yasipingue maji, mitambo isifanyiwe ukarabati, then effect ije kuonekana miezi michache baada ya kalemani kuondolewa? Ndio mana nikawa na Mashaka na uelewa wako wa mambo
 
Kwa huo uwongo wake aliyokuwa anadanganya Watanzania au sifa zipi za huyo mrundi?
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Kalani ndiye alisimamia mitambo ya umeme vizuri Sana? Usukuma gang unakuwasha wewe.

Tunachosema yule jini alipenda Sana sifa na kukiuka taratibu za kitaalamu kwa kutofuata ratiba za matengenezo ya mitambo.

Sasa wenye akili wameingia wameamua kufanya matengenezo makubwa ili kuweka sawa mitambo.

Kalemani kampe kazi nyumbani kwako. Mama kampa uwaziri wa nishati Makamba, kama humpendi kasage wembe unywe na kufa.
 
Umesharudi kudisplay kilichokujaa kwenye ubongo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…