Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

Termux

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
429
Reaction score
1,031
Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe.

Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu vingi vinajirudia sana, imekuwa sasa ndio maisha yenyewe hayo.

Kama upo katika ndoa epuka vitu vifuatavyo, kaa navyo mbali na fanya mambo haya;

EPUKA
1. Kama mke wako anakupenda, anakueshimu, anakusikiliza hata kwa kukuongopea au kukuzuga na kuna amani ndani katika nyumba usimfuatilie au usimchunguze.

2. Ukiona amekucheat au ana mtu nje, kama unaweza kuachana nae au unaweza kumsamehe. Fanya maamuzi hapo au kama huwezi tafuta na wewe mtu wa nje uenjoy maisha yako. Maana maisha hayarudi tena nyuma, furahia uwepo wako duniani, asikufanye ukawa na mawazo na mtoto wa mtu kisa mapenzi. Usikubali mtu akukoseshe amani katika maisha yako.

FANYA HIVI
1. Fanya kazi kwa nguvu zote na penda sana familia yako na ndugu zako na watoto wako maana ndio ndugu zako wa kweli.

2. Mwanamke sio ndugu yako, ndugu zako ni watoto wako. Nasisitiza tena, mwanamke sio ndugu yako, mwanamke hatosheki. Utampa kila kitu mwisho wa siku atakufanyia jambo ambalo hutoamini katika maisha yako. Mwanamke ni chombo cha starehe tu. Tena usije kumuonea huruma hata chembe.

3. Sio kila kitu unamwambia, jitahidi baadhi ya mambo unamwambia na baadhi fanya siri, usimwambie kila kitu unachofanya.

Tuendelee:
Nimekutana na vitu vingi sana na vengine nimeonana navyo na vengine nimeona kwa marafiki na vengine vimenitokea mimi mwenyewe. Kama mwanamke haujamkuta bikra una asilimia 60% tu.

Mama zetu zamani walikuwa wanachaguliwa wanaume na wanakuwa wanaume wa kwanza kwao ndio mana mpaka kesho wanakuwa pamoja 100%. Ndoa zimekuwa sasa kama sehemu ya kufichia watu maovu yao au umri umeenda kachoka kukaa nyumbani au rafiki yangu kaolewa au kaoa na mimi nataka kuowa.

Jipende sana mwenyewe maana ndio maisha yako, ukipata mda wa kufurahi furahi na ukipata muda wa kustarehe fanya starehe na ukipata muda wa kutulia tulia. Penda sana kufanya mazoezi na kujali mwili wako, nasisitiza.
 
Maisha ya ndoa ni vibweka sana.Unaoa mke kwa wema tu.Huyo mke anazaa jamaa fulani wanaitwa watoto wako/wenu.Hapo bado haujapigwa changa la macho/kubambikwa.Bas,maisha yanaendelea.Lakini,huyo mke na hao jamaa zake wa kuitwa watoto,wote wanakuvizia .Wana-buy buy time watwae kila kilichotafutwa nawe na watokomee kusikojulikana.Huoni kama maisha ya ndoa ni vibweka?🙏😂😂😂😂😂
 
Na hizi ndio NDOA ZENU.

Pole sanaa braza, ila ndio Dunia.
Changamoto ya Dunia ya sasa ni "Vijana wamekuwa wabishi sanaa"

Ni heri maumivu ya mwili kuliko maumivu ya nafsi.

Cheki Leo ....
1. Ulimpenda mwenyewe
2. Ukamtolea mahari mwenyewe
3. Ukakusanya michango ya harusi mwenyewe
4. Ukapiga bongee la part mwenyewe

Ukaja ukaitangazia Dunia Tena kivitendo kuwa "Nimepata mwanamke sahihi" kumbe mannnn umejipatia sababu ya kifo Chako.

Any way amka, oga na kunywa flying fish maana MAISHA LAZIMA YASONGE.

VIJANA PUNGUZENI UBISHI.
Kwa Dunia ya sasa "Women are hungry for your wallet and men are hungry for your pusssy""

Take care.

#YNWA
 
Kama mnayajua yotee haya kwanini mnaoa?!!!

Life is full of shits.

#YNWA
 
Flying fish na lukwili hii?Sisi wabeba mizigo stendi tutayumba sana.Labda,tupate uji na maandazi tu.
 
Kugusa ni kuamini.Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi!🙏
Mlezi wangu aliniita na kuniuliza "Kwanini uoi na ndugu zako wanaendelea kuoa?

Jibu ni moja tu "Sioni sababu ya kuoa"

Kuna mwaka nilishawahi date na Binti wa miaka 25 na nilimkuta bikra.

Kuna siku bana alilazwa nikamshikia simu, asijue kuwa najua password yake.
Dah niliyokutana nayo kwenye simu ni hatari, nikajiuliza ""Huyu si nimemkuta bikra au nilipigwa na ya kichina?""

Alivyopona nikamuuliza kiupole "Kwanini unakuwa malaya hivi?" ile reaction na majibu yake ndio nikajakugundua "Kwanini Kuna singo Maza"

Namuonea huruma ALIYEMUOA SASA.

#YNWA
 
Huna uvumilivu na hupendi maisha ya ushirikiano.Kwa ufupi,wewe unapenda kula "ebhitoke na ensenene" peke yako.Nchi ya ujamaa hii, remember?
 
Kakoswakoswa na kitu kizito utosini.Ameamua atoe usia kabisa kabla mwendo hajaumaliza.
 
Huo ushauri kawape animalistic wenzako, Ukristu unatufundisha Mwanamke na Mwanaume wanaungana na kuwa mwili mmoja na kuanzisha Familia iliyobarikiwa na Mungu, na namba one priority ya Mwanaume kwenye Ndoa ni Familia yake i.e Mke na Watoto, hao ndugu unaowaongelea kwani wao hawana Familia zao hadi wewe utake kuwaweka mbele ya Familia yako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…