Termux
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 429
- 1,031
Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe.
Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu vingi vinajirudia sana, imekuwa sasa ndio maisha yenyewe hayo.
Kama upo katika ndoa epuka vitu vifuatavyo, kaa navyo mbali na fanya mambo haya;
EPUKA
1. Kama mke wako anakupenda, anakueshimu, anakusikiliza hata kwa kukuongopea au kukuzuga na kuna amani ndani katika nyumba usimfuatilie au usimchunguze.
2. Ukiona amekucheat au ana mtu nje, kama unaweza kuachana nae au unaweza kumsamehe. Fanya maamuzi hapo au kama huwezi tafuta na wewe mtu wa nje uenjoy maisha yako. Maana maisha hayarudi tena nyuma, furahia uwepo wako duniani, asikufanye ukawa na mawazo na mtoto wa mtu kisa mapenzi. Usikubali mtu akukoseshe amani katika maisha yako.
FANYA HIVI
1. Fanya kazi kwa nguvu zote na penda sana familia yako na ndugu zako na watoto wako maana ndio ndugu zako wa kweli.
2. Mwanamke sio ndugu yako, ndugu zako ni watoto wako. Nasisitiza tena, mwanamke sio ndugu yako, mwanamke hatosheki. Utampa kila kitu mwisho wa siku atakufanyia jambo ambalo hutoamini katika maisha yako. Mwanamke ni chombo cha starehe tu. Tena usije kumuonea huruma hata chembe.
3. Sio kila kitu unamwambia, jitahidi baadhi ya mambo unamwambia na baadhi fanya siri, usimwambie kila kitu unachofanya.
Tuendelee:
Nimekutana na vitu vingi sana na vengine nimeonana navyo na vengine nimeona kwa marafiki na vengine vimenitokea mimi mwenyewe. Kama mwanamke haujamkuta bikra una asilimia 60% tu.
Mama zetu zamani walikuwa wanachaguliwa wanaume na wanakuwa wanaume wa kwanza kwao ndio mana mpaka kesho wanakuwa pamoja 100%. Ndoa zimekuwa sasa kama sehemu ya kufichia watu maovu yao au umri umeenda kachoka kukaa nyumbani au rafiki yangu kaolewa au kaoa na mimi nataka kuowa.
Jipende sana mwenyewe maana ndio maisha yako, ukipata mda wa kufurahi furahi na ukipata muda wa kustarehe fanya starehe na ukipata muda wa kutulia tulia. Penda sana kufanya mazoezi na kujali mwili wako, nasisitiza.