Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Wewe unadhani yai halina pembe?!"Kila pembe ya Dunia"
Kumbe Dunia ina pembe? bila shaka Mwalimu wangu wa Jografia aliniingiza chaka Eeee!
wachaga wamewashika masikio ninyi watu, kweli unachanga pesa unampa "lema", atembee kwenda nchi gani wakati kama nia yake ni kuchafua tz anaweza kuichafua hata kwa internet tu .Lema ameshawahi kutafuna pesa za diaspora akaunyuti hadi leo,
Hili tangazo angelitoa mtu mwingine, sio huyu mwizi.
Acha kujifanya mjuaji,comment yangu ni swali,huna jibu piga kimya kuliko kuonyesha ujuha wako.Wewe unadhani yai halina pembe?!
Una ubongo mwingi kuliko akili bwashee!
Zile nasikia ziliingia kwenye account ya mwenyekiti na tayar ashazituma Dubai kwa bi'mdogo ili zimsaidie matumizi ya hapa na pale. Kina Lema na Lisu hawana chao zaidi ya kubwabwaja.Kwani si watumie zile hela za hukumu walizorudishiwa na mahakama
Maana wananchi waliwachangia kipindi kile kuepuka kifungo lakn waliporudishiwa wamekuwa wakali ukiwahoji
Hilo swali peleka chekechea manka!Acha kujifanya mjuaji,comment yangu ni swali,huna jibu piga kimya kuliko kuonyesha ujuha wako.