I have gone through most of the comments here, na swali nataka niwaulize wale wanauliza cdm watachangisa mpaka lini, watu ambao wanauliza maswali kaa hayo ni wale hawana chochote, hawana la kufanya, na mengi ambao sitaki kuyataja hapa, kaa unasoma na unaona hii kuchanga ni upuzi, just pass on, me here $20,000 ziko tayari tokakwangu kwa ajiri sio tu kwa kizazi cha leo ile vizazi vijazo, inawezekana aje baada ya miaka 60 ya uhuru watoto bado wanakaa chini ya miti ndio wasome hata dawati hamna, wamama wanatembea the whole day siku nzima kutafuta maji, hosipitali dawa hamna, unakuta darasa moja lina watoto karibia 100, iko shule moja lindi ina standard 1-mpaka 4 na mwalimu ni moja pekee, sababu ccm inajua mtaji wao mkubwa ni ujinga na umasikini wa watz, mpaka leo unakuta nyumba za matope na nyasi, AIBU KUBWA, so thats why i am saying my $20,000 is very ready, na wakihitaji zingine niko ready, nitakubukwa kwa yale mema nilitenda na sio utajiri wangu, magari ya kifahari na vitu kaa hizo, kwa wale wanaelewa umuhimu wa hii jambo welcame we change our country, God bless tz