Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

Wajasiriasiasa
Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.

View attachment 1872706

Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.

Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
 
Sisi wengine tunasikia furaha kuchangia watu wenye lengo zuri.
Tunachojua hatutazikwa na pesa zetu,kuna ubaya gani kuwapa watu wenye uhitaji kama Lema na Lissu.?
Ambaye ana pesa za mawazo atulize mbususu.!
 
Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.

View attachment 1872706

Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.

Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
wewe unatakaje ?
 
Yaani nchi yetu inaenda kuchafuka, bahati mbaya wanasiasa wanaangalia maslahi ya vyama vyao. Wote wawili wanaongeaga chochote bila kuchuja. Yaani hapa kinacho kwenda kufanyika ni ili ya dawa ya moto ni moto au tukose wote. Hapa kampaeni ni kufunua mabaya yote ya Tanzania nje ya nchi. Je mabalozi wamejiandaaje kujibu?
 
"Kila pembe ya Dunia"

Kumbe Dunia ina pembe? bila shaka Mwalimu wangu wa Jografia aliniingiza chaka Eeee!
Ina pembe ipo huku Afrika The Horn of Africa...., by the way pembe yaani kila pembezoni bila kuacha sehemu yoyote...

Ingawa hata huko wanakuoenda kutangaza kwamba huku hakuna haki na huko pia hakuna haki..., Ndio hivyo since begging of time..., its man eats man world....

Hata wenyewe ndio wangekuwa kwenye uskani huenda walio nyuma wangekuwa wanaimba nyimbo hizi hizi....
 
Bila shaka ww ni mnufaika wa michango.. unajaribu kumwaga ulimbo ili mazuzu yanase mpige jumla.
Mtu mwenyewe Dudumizi, au Dudu, ukiondoa mizi, so hata akili yako ipo kidudududu, katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa, itakusaidia
 
cdm mtapigwa hela mpaka lini?
Kama huko kwenye nyumba za ibada tunapigwa kwenye fungu la 10 wakati hatujawahi kumuona Mungu kwa macho, itakuwa huu ukombozi wa mkoloni mweusi tunayemuona?
 
Mtu mwenyewe Dudumizi, au Dudu, ukiondoa mizi, so hata akili yako ipo kidudududu, katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa, itakusaidia
Amna tatizo kijana wajinga ndio waliwao. Kama shule imeshindwa kukutoa ujinga basi wanasiasa watatumia fursa hiyo kujineemesha kutokana na ujinga wako.
 
Back
Top Bottom