KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Haya, wewe unanijua kwa kuniweka kwenye kundi kama hilo uliloniweka wewe?Unaongea kama vile unanijua, mm sina chama na sijawahi kujihusisha na vyama ila kwenye upuuzi kama huo wenu ntawaambia hata msipotaka
Mimi sina shaka yoyote juu yako kwa sababu michango yako siku zote inaonekana hapa unakoshibishia tumbo lako.
Kwani ni mara ya kwanza leo kukusuta kwa ujinga unaouonyesha humu kila mara?
Haya sasa, nimekuweka sehemu yako, lete kelele nyingine mnafiki mkubwa wewe.
Wanafiki kama wewe ndio maadui wakubwa wa taifa hili. Watu wanaumizwa wanaonewa, nyinyi mpo mnakenua tu meno; mara mjidai hamhusika na chama chochote cha siasa! Hopeless kabisa.