Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.
View attachment 1872706
Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.
Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
Bila shaka ww ni mnufaika wa michango.. unajaribu kumwaga ulimbo ili mazuzu yanase mpige jumla.Vyovyote vile KWa sh mia zetu lazima tuchange, asietaka halazimishwi,Kama sheree tunachanga why kwenye ili,tutachanga
Kumbe unajua kucomment,haya subiri uletewe zawadi ya Khanga.Hilo swali peleka chekechea manka!
wewe unatakaje ?Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.
View attachment 1872706
Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.
Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
Masikini kama wewe usichangiemwendo wa kupigwa tena wajinga ndiyo waliwao
Ina pembe ipo huku Afrika The Horn of Africa...., by the way pembe yaani kila pembezoni bila kuacha sehemu yoyote..."Kila pembe ya Dunia"
Kumbe Dunia ina pembe? bila shaka Mwalimu wangu wa Jografia aliniingiza chaka Eeee!
Lema haachi wizi, ni asili yakeLema ameshawahi kutafuna pesa za diaspora akaunyuti hadi leo,
Hili tangazo angelitoa mtu mwingine, sio huyu mwizi.
Mtu mwenyewe Dudumizi, au Dudu, ukiondoa mizi, so hata akili yako ipo kidudududu, katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa, itakusaidiaBila shaka ww ni mnufaika wa michango.. unajaribu kumwaga ulimbo ili mazuzu yanase mpige jumla.
Kama huko kwenye nyumba za ibada tunapigwa kwenye fungu la 10 wakati hatujawahi kumuona Mungu kwa macho, itakuwa huu ukombozi wa mkoloni mweusi tunayemuona?cdm mtapigwa hela mpaka lini?
Amna tatizo kijana wajinga ndio waliwao. Kama shule imeshindwa kukutoa ujinga basi wanasiasa watatumia fursa hiyo kujineemesha kutokana na ujinga wako.Mtu mwenyewe Dudumizi, au Dudu, ukiondoa mizi, so hata akili yako ipo kidudududu, katekeleze msemo wa aliekua Dc wa Iringa, itakusaidia