Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

Hizo pesa haijarudishwa hata senti moja.
Kwani si watumie zile hela za hukumu walizorudishiwa na mahakama

Maana wananchi waliwachangia kipindi kile kuepuka kifungo lakn waliporudishiwa wamekuwa wakali ukiwahoji
 
Unaweza kuwa na point but inakosa uzito machoni pa watu kwa vile wewe ni passionate hater wa Chadema.

Ukizingatia Chadema ndicho chama pekee ambacho kinategemewa sana katika "mapambano" ya kuung'oa utawala wa kijeshi wa CCM, it simply implies wewe ni CCM (through and through) no matter what you would want people to believe.
 
Wewe si uko ughaibuni au nakosea? Nilitegemea nawe uunge mkono bila kuweka alama za kuuliza zenye mashaka na dhamira yako. Inaonekana kuna kitu unataka kusema ila unasita. Time will tell
 
Wacha tuchangie harakati maana harakati zina gharama.
 
Yes, asante hili ni CCM, huwa aniandika vibaya CDM. Ngoja niweke article yake uisome
 
Amna tatizo kijana wajinga ndio waliwao. Kama shule imeshindwa kukutoa ujinga basi wanasiasa watatumia fursa hiyo kujineemesha kutokana na ujinga wako.
Sasa wewe yakuhusu nini, alafu eti kijana, una matatizo sehem
 
Una maana gani, mbona hueleweki na haya uliyoandika hapa.

"Watu wanalianzisha" ... "ili itembezwe bakuli ya michango"?

Haya ni mawazo ya ajabu sana haya!

Kuna mpango wa kulazimisha watu wachange, au wanaotaka kuchangia juhudi hizo wanafanya hivyo kwa kujuwa umhimu wa michango yao katika kutafuta mabadiliko katika hali tuliyomo sasa?
 
Mangii huwa wanaziona fursa kwa jicho pana sana,huu ni msimamo wa chama ama mtu,na kwanini Lema ajiteue yeye na isiwe Sugu,Msigwa au Mnyika?
 
walianza na kuuza card za chama, zimebuma, wanatafuta namna nyingine kuwaingiza mkenge raia. siku wakija kufumbuka macho watashangaa sana.
Mradi wa kadi umebuma vibaya, jumuiya ya kimataifa nayo imeshajua janja yao, hii mambo yao ya kumwita Samia dikteta inawaharibia zaidi ya kuwajenga.
 
Wajinga ndo waliwao. Kwani lazima kuzunguka ?Hii dunia ipo connected via internet. Si aongee tu. Kila nchi kuna ubalozi wa nchi kibao. Vyombo vya habari kibao. Anataka kuwaibia wajinga hivi hivi.
 
Una takwimu za wanachama na wafuasi wa Chadema na CCM na composition ya wanachama wao kikabila?
 
Wajinga ndo waliwao. Kwani lazima kuzunguka ?Hii dunia ipo connected via internet. Si aongee tu. Kila nchi kuna ubalozi wa nchi kibao. Vyombo vya habari kibao. Anataka kuwaibia wajinga hivi hivi.
Kwanz wakishachangiwa hawatosema hadharan kiasi kilichochangwa, afu baadae watadai kwamba walinyimwa visa za kuingia katika hizo nchi walizotaka kwenda, kwahiyo hela zitatumika kwa mahitaji mengine ya chama. Baada ya hapo hautosikia tena maelezo ya hizo hela za michango.... Trust my words
 
Una takwimu za wanachama na wafuasi wa Chadema na CCM na composition ya wanachama wao kikabila?
Achana nae huyo... kuna wale chadema original wanaotaka kufanyike kwanza marekebisho kweye katiba yao ili kila mwenyekiti akae madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama ilivyokuwa mwanzo. Cha kushangaza hakuna mtu anaejisikia huru kutolea ufafanuzi hoja ile ya chadema original kwa kuogopa kupotezwa kama alivyopotea Ben saa8.
 
Naombeni nifundishwe namna ya kulipa hio helaa
 
Hawa walizoea kula mishahara ya serikali na ruzuku za serikali, sasa wana njaa watafanyaje? Ni kuwachangisha makamanda wa Ufipa tu.
 
"Kila pembe ya Dunia"

Kumbe Dunia ina pembe? bila shaka Mwalimu wangu wa Jografia aliniingiza chaka Eeee!
Hapo tatizo nilionalo ni ile maana uliyoambiwa na mwalimu wako wakati unafundishwa neno hilo kwa mara ya kwanza... KWA MFANO, tulifundishwa kwa mara ya kwanza kwamba neno la kiingereza RIGHT maana yake UPANDE WA KULIA.. sasa akitokea mtu akakuuliza IS IT RIGHT? ndo kazi inapoanza..!!!
 
Mfano wako upo nje ya nilichokiongea,

Kwa mfano hivi Yai lina pembe? Nini maana ya Pembe "Angle?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…