Kwahiyo huko Canada aliko anaongea kichaga? Au unadhani kizungu Ni lugha ya maajabu. Ni sawa tu na kihehe nkHuyo Lema kiinglish hawezi, huko duniani atakozunguka ataongea lugha gani? And na hizi travel bans za covid ni nchi gani itawapokea kibwegebwege?
Toka mjumbe waccm akawa nahelaMakato n makubwa siwezi kutuma
Tulijua tu wataishiwa. Watafute kazi hata udereva wa taxi. Sio kupeleka picha mbaya isiyokua kweli nje. Sasa wamekwama wamegeukia ndani ya nchi kutafuta hela ya kula. Bora warudi. Biashara ya kusaliti tanzania ni ngumu haiwezekani.Hawa ndio wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi?
"Tutaweka maliasili ya nchi kama bond ili tupate hela za kuijenga nchi"
"Tutashtakiwa MIGA"
Takataka kabisa.
uongo utakusaidia nini wewe kapukuKumbe ndio maana Lissu anataka Mbowe aendelee kukaa lupango mpaka pale serikali utakapoamua kumwachia,lengo lake kuu ni kupiga pesa kama hivi kwakua anajua kabisa Mbowe akiwepo uraiani hawezi kupata vitonga kama hivi.
Zile hela ambazo Wana CDM wamewahi kuchanga kwaajili ya ile kesi yao,kisha SSH akaamulu zirudishwe zimefanya kazi gani?
Wanasema kutangaza mabaya? Kwanini wasitumie tu mitandao kufanya hivyo?
Cc Erythrocyte minyoo technically
mama D Victoire dudumizi09 Jumbe Brown NAWATAFUNA Numbisa
Nyie wenye nazo,naona mko ulaya (ubelgiji na Marekani)mnakula maisha 😂😂😂😂😂😂.uongo utakusaidia nini wewe kapuku
Jasusi uchwara kaa pembeni kabisa na shughuli za kiume. Wewe umeshajisalimisha achana na wanaume walioamua kufanya kazi.Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.
View attachment 1872706
Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.
Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
Unaongea kama vile unanijua, mm sina chama na sijawahi kujihusisha na vyama ila kwenye upuuzi kama huo wenu ntawaambia hata msipotakaNa wale viongozi wa upande wa pili mbona huwazungumzii kabisa, na kila siku unawachangia tena kwa furaha kubwa, pamoja na kwamba wewe siyo "fala" kama hao wa upande wa CHADEMA!
Wewe unajasiria nini madam ??!!. Nyani haoni kabisa la kwakeWajasiriasiasa
Tutawachangia. Hawa ccm tumesema nao hapa hapa ndani hawasikii ni miongo sasa. Kwa kuwa hatupaswi ku bow down basi twende tukasemee hata huko nje.Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.
View attachment 1872706
Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.
Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu
da pole siku hizi umeishiwa maneno ya kuongea kabisa mumeo ananyea ndoo umeshindwa kusaini makaratasi ya kumtoawewe unatakaje ?