Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Yule pedeshee huwa hana akili kabisa sijui walimtoa wapi?Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi
Sina haja ya kuweka resumè yake hapa kwani kazi zake zinaishi
Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Huyo apewe wilaya ya IlalaLengai Ole Sabaya anafaa hapo dasilamu.
Bora Makala kuliko hilo jituSijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi
Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi
Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Mkuu nipe elimu kidogo hapaKikwazo cha Makonda alikuwa William Malecela, sasa hayupo tena.
Ubaya wa Makonda uko wapi mkuu!?Bora Makala kuliko hilo jitu
Mnapenda viranja laini laini.Bora Makala kuliko hilo jitu
Hatupendi watekanyara na wauajiMnapenda viranja laini laini.
Muulize Roma Mkatoliki na Tundu Lisu.Ubaya wa Makonda uko wapi mkuu!?
Mambo yake binafsi Sina muda nayoMuulize Roma Mkatoliki na Tundu Lisu.
Upo?
Nadhani kama una ushaidi Kuna sehemu maalumu ya kuyapelekaHatupendi watekanyara na wauaji
Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi
Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi
Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
AaahaaaaaaHuna nia njema na Makonda weye,mlianza na Magufuli,atake asitake lazima......,Kilichofutata Magufuli akapendwa zaidi.