Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

Ushashiba maharage na dagaa za mbwa unakuja kujaza server huku. Khe jamani!!! Msitutwishe zigo la kunguni sie.
Comment siyo ya kiungwana, mrembo kama wewe hupaswi kukomenti vile dear Kajojo
 
Hahaha we jamaa una makasiriko kweli kweli ulinyimwa ureuzi ? Pole angalia usije ukafa mapema mana hawajui jina hata mamba huweki?
Kila.mtu hafai? Nani basi anafaa hapo lumumba
Labda yeye mwenyewe anafaa
 
Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi

Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi

Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Hawezi kuwa Makonda yuleyule wa JPM. Hata huyo Makala angekuwa wakati wa Magufuli asingepwaya hivyo.
 
Mmeaahau matapeli wa wizara ya ardhi na idara zake Paul Makonda alivyowadhibiti?

Mmesahau wauza unga na mashoga walivyokimbia jiji?

Hata hawa matapeli wa Tra chini ya Paul Makonda wangedhibitiwa.

Leo hii JiJi limejaa uchafu?
20230515_224500.jpg
 
Makonda hawezi kiteuliwa kwa Sasa. Ngoja comedian aje Dar naye afanye vitu vyake.
 
Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi

Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi

Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Ombi lako limetimia lakini kwa njia nyingine
 
Back
Top Bottom