Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi

Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi

Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Utakuwa mpumbavu wa wapumbavu kusema Makonda ni kiongozi!
 
Uko kwenye akili zako. Hivi mtu mwenye akili unawezaje kuona Makonda ni kiongozi? Ukiambiwa useme alichofanya muda wote aliokuwa mkuu wa mkoa utasema alifanya nini?
Resumé yake wanayo wale wenye misuli ya kisiasa wenye uwezo wa kuamua hatima ya Makonda

We tulizanatu hapo
 
Back
Top Bottom