BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.
Nawasilisha.
View attachment 1527961
View attachment 1527962
View attachment 1527963
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.
Nawasilisha.
View attachment 1527961
View attachment 1527962
View attachment 1527963
Kingereza mamako anakijua au umekalia mihemuko?Rais wa china anajua kiingereza?Hapana hii Lugha itawakosesha wanachi kuelewa kwa upana yanayojadiliwa.
Kwaio hauwezi kutofautisha kati ya mdahalo na mdaharo?Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
Wewe huelewi chochote, sio siasa za Tanzania, ndio dunia ilivyo.2010 upinzani walitaka mdahalo,2015 Ukawa (CHADEMA,NCCR,CUF) na CCM walikukataa mdahalo,ACT walikubali (sijui kwa nini?),2020 wanataka tena mdahalo.Siasa za Tz hazina tofauti na komedi......walicho kikataa juzi wanakikubali leo,sasa unajiuliza kwa nini juzi walikataa.
Naitafuta ilani ya ccm, unaweza kuweka humu au link yake?Upinzani ilani yenu ya uchaguzi imetoka?
Bring forward your election manifesto.
CCM inayo tayari ilani yake ya uchaguzi.
Waleteeni wananchi waichambue ilani yenu ya uchaguzi.
Acheni blahblah zisizo na tija.
Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
Nani walikuwa wa kwanza kumwita Lowasa fisadi mpaka wakajitamba ushahidi wanao,wakazunguka mikoa yote ya Tanzania wakimwita Lowasa fisadi kwa miaka zaidi ya mitano.Wewe huelewi chochote, sio siasa za Tanzania, ndio dunia ilivyo.
Lowass alivyokuja Chadema ccm waligeuza santuri na kusema ni fisadi, sasa amerejea nyumbani wako kimya.
That's politics guy, you will realize this when you come of age.
Ndio maana nakwambia, That's politics, no permanent friends or permanent enemies but permanent interests. Kama huelewi ndio utaongea hivyo. Iko siku utaelewa tu when you come of age.Nani walikuwa wa kwanza kumwita Lowasa fisadi mpaka wakajitamba ushahidi wanao,wakazunguka mikoa yote ya Tanzania wakimwita Lowasa fisadi kwa miaka zaidi ya mitano.
Baadaye wakayalamba matapishi yao na kuyala hatimae wakampigia kampeni NA NDIO MAANA WALIKATAA MDAHALO.Walitumia miaka zaidi ya mitano kumchafua wakatumia dk 5 kumsafisha,CCM waliongea walichoongea wao miaka mitano iliyopita.
Ila si shangai ukitaka kuwa ng'ombe wa mwanasiasa lazima uwe msaulifu,ila kwa sisi watu wazima hatusahau na ndio maana tunajiuliza kwa nini leo 2020 na si 2015.
Ndio maana kama ukiwa mtu mwenye akili,makini huwezi waelewa wanasiasa kwanza Waongo,Wanafiki,Wasahalifu.Ndio maana nakwambia, That's politics, no permanent friends or permanent enemies but permanent interests. Kama huelewi ndio utaongea hivyo. Iko siku utaelewa tu when you come of age.