6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa. Hawa ni kama black america ambao wamesahau walipotoka.Wanzanzibar wengi weusi na hao mixer hawajui kwamba asili Yao ni Bara KUPITIA slave trade tabora na bagamoyo mi m Zanzibar na most of them ninwasukuma tabora ,wanyamwezi biashara ya utumwa wao wanasahau walipelekwa uko kiutumwa na waarabu