Wanzanzibar wengi weusi na hao mixer hawajui kwamba asili Yao ni Bara KUPITIA slave trade tabora na bagamoyo mi m Zanzibar na most of them ninwasukuma tabora ,wanyamwezi biashara ya utumwa wao wanasahau walipelekwa uko kiutumwa na waarabu
Mheshimiwa Mwiny wewe ni Mzanzibara, jaribu kutumia cheo chako kutetea ndugu zako maana kuna siku na wewe au ndugu zako yatawakuta haya haya yaliomkuta mama yule.