Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Elimu yako uliitendea kazi ya haki sana kijana! ebu pata moja baridi hapo kwa mangi naja lipa!!!Kikubwa hawa waarabu warudishe maeneo waliopora ya watu. Hata hawa wa Africa Kaskazini wanapaswa kurudi kwao.
Siyo Waarabu wale ni Magiriki kwa asili, wajukuu wa Alexander the great!! na makamanda wake ( Hellenistic empire) yaani ni wazungu wale wale! ila kwa sababu ya kujisikia kupitia Otoman empire( dola la kiislamu),Inaumiza lakini unapogundua waarabu wa Saudia, UAE, Qatar nk ambao ni ndugu wa wapalestina na wanafanana nao kwa kila kitu kuanzia rangi, lugha, dini na tamaduni wameamua kulichukulia poa hili swala unajikuta sauti ya ndani inakuuliza hivi we Bush unaumizwa na Palestina kama nani yao!
Kutwa warabu wana mingle na muyahudi, wamemsahau mpalestina na wameamua kumuuza kabisa. Wewe mbongo ukiumizwa na hili swala umeamua tu, na ni kuruhusu kuumizwa na mambo yaliyo juu ya uwezo wako. Hii kiafya ya akili sio salama..
Baada ya kuzaliwa kwa red - heifer, ni suala la muda tu, huu msikiti wataubomoa wajenge hekalu.Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi
Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Suleiman hakuwahi kuwa mwislam, ni uvivu wa kujisomea ndio unaokusumbua.Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Kwangu ni hapa nilipo, sijapora maeneo ya watu.Na wewe wa Africa mashariki KWENU wapi?
AiseeeeeKaz wanayofanya israel ni nzursana. Kitu wanachoudh ni kule kuchelewa kuwamaliza hao wapalestine
Haitasaidia kwa Karne hii.ni vita ya wajinga kwa sasa haina nafasi.Vita ya wafia dini its coming soon😂
Mungu alafu tena ni Lusifa.uko siriaz.Wapo wanaoamini kwamba vitendo hivyo vina baraka ya mungu wao. Baraka kwa taifa lake teule.
Sina shaka mungu huyo atakuwa ni Lusifa
Na huo msikiti utavunjwa,Ni timing tu,na hekalu litajengwa upya.Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi
Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Nadhani ndo maana kaandika mungu sio Mungu, ina maana yake..Mungu alafu tena ni Lusifa.uko siriaz.
Hilo jambo halitotokea.Bindadamu huwa tunafanya jeuri ya hali ya juu kama kutahiniwa na Mwenyezi Mungu wakati YEYE hapatai hasara yoyote lakini siku ile jeuri inapoingilia uwezo na maamuzi yake wazi wazi huwa hatoi fursa kwa jeuri hiyo,hutoa adhabu kali na kumfedhehesha mkosaji na habari yake hubaki historia ya muda mrefu ujao hata wengine baadae wakijifanya hawakusikia.Na huo msikiti utavunjwa,Ni timing tu,na hekalu litajengwa upya.
Hebu leta hayo maandishi uliyosoma yanayothibisha kuwa nabii Suleiman hakuwa muislamu. Itakuwa kwa ujinga wako hujui kuwa mitume wote ni waislamu na Uislamu ndio dini ya binadamu wa mwanzo Adam a.s na ndio dini ya Issa bin Maryam mnayemwita Yesu.Suleiman hakuwahi kuwa mwislam, ni uvivu wa kujisomea ndio unaokusumbua.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hilo jambo halitotokea.Bindadamu huwa tunafanya jeuri ya hali ya juu kama kutahiniwa na Mwenyezi Mungu wakati YEYE hapatai hasara yoyote lakini siku ile jeuri inapoingilia uwezo na maamuzi yake wazi wazi huwa hatoi fursa kwa jeuri hiyo,hutoa adhabu kali na kumfedhehesha mkosaji na habari yake hubaki historia ya muda mrefu ujao hata wengine baadae wakijifanya hawakusikia.
Aliwahi kufanya hivyo mfalme wa Yemen aliyeabudu dini za kishirikina akitaka kuivunja Alkaaba,babu yake Mtume Muhammad s.a.w aliposikia jeshi kubwa asiloweza kupambana nalo liko karibu akaamuru watoto na jamaa zake wakajihifadhi majabalini na akasema anamuachia Mwenyezi Mungu nyumba yake ailinde anavyopenda.Mfalme na jeshi lake wakati alkaaba iko karibu kabisa hawakuifikia wakafa vifo vya kutisha na waliobaki wakarudi kwao katika hali ya kudhalilika sana.Mwenyezi Mungu aliyefanya hivyo yupo na AlAqSA ni miongoni mwa nyumba zake hizo.Wataendelea kuuvunjia heshima na kuzuia waislamu wasiingie lakini siku wakikusudia kuuvunja ndio mwisho wao.
Angalia Mwenyezi Mungu anavyowafedhehesha japo kidogo ili watu wazingatie.Donald Trump alivyofanya kwa Jerusalem mwaka jana tu anaondoka madarakani kwa aibu kubwa na kuwa kichekesho kwa dunia.
Hao watu ambao hawatakubali kiwakute ni nani,ni binadamu au ni viumbe gani.Jaribu sana kusoma kumtambua Mwenyezi Mungu na uwezo wake usihadaike na mabomu na silaha za nyuklia.Hizi stor chief. Kwa sasa hiv mwisho wa Isreil ndio mwisho wa dunia. Hakuna watu watakubali kiwakute kama kilichowapata wakati wa Hitler. Ndio maana watu wenye nguvu wako upande wao
Hao watu ambao hawatakubali kiwakute ni nani,ni binadamu au ni viumbe gani.Jaribu sana kusoma kumtambua Mwenyezi Mungu na uwezo wake usihadaike na mabomu na silaha za nyuklia.
Mwenyezi Mungu ana silaha kubwa za kistratejia kuliko nyuklia.Moja ya silaha zake ni kubadili tu hisia za watu ikiwa ni moja ya silaha za kimya kimya.
Mungu wa Isaka ,Ibrahim na Yakobo ndiye Mungu wangu na wako na Mungu wa Yesu na ni wa viumbe vyote,ni mmoja tu na hakuna mwengine.Huyo ni Mungu wenu chief ckukataz kumpa hizo sifa ila Mungu wangu anasema yeye ni Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo milele. Hata mpungukia kabisa na atamlinda kama mboni ya jicho
So unaamin Mungu ndie aliyewapa pale pawe kwao milele?Mungu wa Isaka ,Ibrahim na Yakobo ndiye Mungu wangu na wako na Mungu wa Yesu na ni wa viumbe vyote,ni mmoja tu na hakuna mwengine.