Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

Ulichosema unasema hujasema na unaposhindwa kutetea hoja unasema unapotezewa muda wako.Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa.
Mara unabishia Allah kuwepo kabla na mara nyengine unazungumzia Uislamu na Muhammad. Mara nyengine umekubali mwaka 900Ad halafu umejikanyaga unataja mwaka 600Ad ni kipi unachojaribu kupinga.hueleweki kabisa.Ni Mungu,ni Uislamu au ni Muhammad s.a.w.
Kabla ulipoikataa Qur'an niliacha kujadiliana nawe kwa kuitaja hiyo.Ulipoikubali nimekupa ushahidi kuwa Allah ni wa mwanzo kwa maneno yake mwenyewe.Unaona aibu gani kuukubali ukweli.
You dont have to be dissapointed with me.You just have to be clear what is your discussion point. I believe you have got fake cerificate in whatever field you majored.
 

Ngoja nikuambie kama naongea na mtoto wa chekechea.
Chacha chikia iko ivi

Allah-> Quran-> Muhammad (imani yako)
Muhammad->Allah->Quran (Imani yangu)

Sasa ili uwe muislam ni lazima Umjue Allah
(common agreement)

Sasa kama kuna waislam kabla ya Muhamad maana yake kuna watu walimjua na kumuabudu Allah kabla ya muhamad na watu hawa walijiita waislam.

Sasa kama ilikuwa hivyo basi tungepata ushahidi wa kihistoria(Sio wa kiiamani) wa kuwepo hawa watu.

Huo ushahidi ndiyo nataka unipe mtoto juri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am not the one who made the argument.The argument is yours don't run away from it.
Akili yako ni duni sana na huwezi kujadili jambo la maana kama la kiimani kama hili.Wewe ishia kwenye udanganyifu kanisani kwako tu.
Unagusia mambo mazito usiyokuwa na utaalamu nayo na ulidhani mimi ni kama mchungaji wako nitakuachia utoke kimya kimya bila kukuhoji.
Ushahidi ulioutaka kupitia Qur'an ambayo baada kukubana uliikubala kama source kwa maneno yako ndipo ukataja 900AD,600AD nimekupa ya kuwa Allah ni wa mwanzo.Mwenyewe pia ulikubali Mussa alitajwa ni muislamu wa Mwanzo na Muhammad hivyo hivyo.Kwa kiwango chako cha elimu ya uislamu hapa inabidi utumie mantiki tu iwapo A=1 ,B=1 maana yake A=B na baadae ikathibitika kuwa na Z=1 maana yake A=Z kitakachotofautisha kati ya A na Z itakuwa ni vitu vyengine vya ziada itakavyobidi uvipembue.
Uligusia Avest na Veda nimekushurutisha unitolee ufafanuzi nikiwa na lengo maalum na hujaweza kufanya hivyo kuonesha unapokuwa unajadiliana na watu wa aina yako huoni shida kutaja mambo makubwa usiyo na ufahamu nayo kwa kutarajia utapata alama feki na uishie tu.
Mara nyingi hapo kabla umedai unataka ushahidi wa kihistoria.Historia kwa upande wako huwa unaipata wapi?
 
Tunajaza server tu za JF...hii mada imeisha maana mpaka sasa umeshindwa kuweka ushahidi wowote wa kihistoria.

Ukiweka namimi nitakuelezea hizo Avesta na Veda.
 
[emoji28][emoji28]nmefatilia huu mtanange kuna mwamba mmoja kala za uso kinyama...Ni kama jamaa anabishana na panya asiye na ubongo.(kila mtu anaona)
 
Huu uzi mtu akiona comment nyingi hivi anaweza akahisi Kuna vitu vya kujifunza, kumbe liuzi lenyewe limejaa comments za mareligion fanatics tu..... Pumbavuuu

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tunajaza server tu za JF...hii mada imeisha maana mpaka sasa umeshindwa kuweka ushahidi wowote wa kihistoria.

Ukiweka namimi nitakuelezea hizo Avesta na Veda.
Server ipo kwa ajili yetu ili watu waelimike. JF wanalipia usijali na siku wakiona kweli majibu yako yanajaza basi watafungia.
Hujajibu mambo mengi niliyokuuliza.Itakuwa majibu huna.Jaribu kujibu hili la mwisho.Historia kwa upande wako huwa unaipata wapi?.
Ni ubongo wako,ni maandishi au ni uchimbaji wa vitu vya kale au ni ngano za akina bibi?.
Naamini unategemea zaidi maandishi.Ushahidi wa maandishi kupitia Qur'an nimekupatia .Jaribu kuupinga na unipe ushahidi unaouamini zaidi kuonesha hakukuwa na Allah kabla ya Adam a.s na kwamba Uislamu si dini ya mitume wote pamoja na Yesu a.s.
Kama hilo litakushinda usihoji ujinga na nenda katika shughuli zako nyengine.Usipoteze muda wako.
 
Alexander the great alikuwa na watoto?
 
Uislamu umeibuka ibuka tu ..manabii wote ni wayahudi na wapo kwenye agano. Kwa nini huyu Muddy mtume siyo myahudi? Ni mwarabu tu huko kaibuka akiwa na maruwe maruwe (mapepo) na kujiita mtume. Lakini kiukweli hakuna mtume wala Nabii aliyetoka nje ya jamii ya wayahudi. Kwanzia Ibrahimu, akaja Musa, Samwell, akina Isaya, hadi Jeremiah mpaka kuja kwa Yesu. Huyu Muddy ni mwarabu tu ambaye alipagawa na mapepo na kujiita mtume.
 
Sahihi kabisa. Sijui kwanini ndugu zetu wanashindwa kutumia akili. Muddy alikuwa msanii tu!
 
Wafilisti! Kibiblia eneo lao lilijumlisha miji mitano:Ashdodi,Gaza,Ekron,Gathi na Ashkeloni,(1Samweli6:17-18)
Wafilisti siyo wapalestina. Wapalestina ni waarabu wavamizi kama jinsi Wamisri wa sasa ni waarabu wavamizi. Wamisri wa zamani walikuwa weusi.
 
Tafsiri ni sahihi, wacha ujinga! Kwani quran si lugha ya kiarabu tu? Kwanini mnafanya kama lugha hosiyo tafsirika wajinga nyiye?
 
Wewe ni muongo, ngoja wapambane na hali zao maana ni wezi
 
kweli mkuu
 
Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
kwa hiyo uislam ulianza kabla ya mfalme suleiman
 
Huu ni uonevu ambao dunia umeufumbia macho na kuuhalalisha kabisa. Aliyesema binadamu wote ni sawa alikosea sana.
Ukisoma historia vizuri ardhi ya palestina ni ya israeli. Kutawanyika kwa Israel kuliwapa mwaya palestina kuitwaa ardhi yao
 
Ukisoma historia vizuri ardhi ya palestina ni ya israeli. Kutawanyika kwa Israel kuliwapa mwaya palestina kuitwaa ardhi yao
Vipi Wangoni wanaweza urudi South Africa kudai ardhi yao na dunia ikawaelewa? Achana na mambo ya historia, kipindi hicho watu walikuwa wanahama hama tu bila mipaka wala passport au visa. Sasa baada ya mipaka kuwepo dunia kubadilika urudi udai hapa ilikuwa ni sehemu ya mababu zangu miaka ya 1700, eti na dunia ikuunge mkono, au uje useme hili eneo langu Mungu wangu kaniambia hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…