Unadhani walienda Marekani kununua raba? huu ujinga wako ni wa kiwango cha SGR.Wamekeza kwenye Nini?
Maana Mimi najua Heche, Mbowe, Msigwa Sugu, Mnyika na Lissu Ni MATAJIRI WA KUTISHA.
Nyie Mateka wa Mbowe mnaambulia BANDO LA KUFYATUKIA MITANDAONI
Mnajilazimisha wewe na Sukuma gang wenzako. Sisi huyo ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaMama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.
Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).
Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Warudi walime hata bustani, maana huko hata kakihamba ka kulima hata muhindi hakunaKwani Tanzania hamna watu wenye hali mbaya????
Hivi mtu akiwa na hali mbaya,unamwambia ana hali mbaya ili iweje?
Hivi wale wafanyakazi wa pale HOTELINI wanaionaje nchi ya TANZANIA?
Washauri hilo watanzania waliopo Tanzania ambao hawawezi ku afford milo mitatu kwa siku....bustani ya nini uko Udisporani kuna kuhangaika na bills sio chakula...acheni kudanganyana kwenye vijiwe vyenu...Warudi walime hata bustani, maana huko hata kakihamba ka kulima hata muhindi hakuna
Per diem…Najiuliza Mwigulu kilichompeleka huko ni kipi?
Well Noted Mkuu.....Kweli Rais kazingua Sana hapo kama angewasikiliza angepata heshima kubwa Sana kama mtu anayetetea demokrasia,waliomshauri kula Kona wamemhalibia pakubwa sana ,ingempa political booster kama angewasikiliza na kuongea nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wanalalamika wamekataliwa kuingia ndani na ma Tshirt yao. Na wao kukaa kote Marekani hawajui jinsi ma-heckler wanaingiaje ukumbini kufikisha ujumbe wao?tatizo hao wlio kusanyika hapo ni wahuni wabeba maboksi ndio maana walikataliwa hata kuingia ukumbini, unawaingizaje wahuni/machokoraa ukumbini karibu na Rais.....
unajua makundi kama hayo wengi wao ni watumiaji wa madwa ya kulevya akili hazijawakaa sawa.
Huo mstari wa mwisho nimecheka balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.
Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).
Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Diaspora njaa itawaua, hata prsa za kununua viatu hawana aisee.
Hivi sijui kaokota Dampo 🤣🤣🤣
View attachment 2199148
Tanzania bado Ni nchi nzuri mnooo na ndio maana watanzania walio wengi Ni wagumu sana kukimbia hapa nchini.Washauri hilo watanzania waliopo Tanzania ambao hawawezi ku afford milo mitatu kwa siku....bustani ya nini uko Udisporani kuna kuhangaika na bills sio chakula...acheni kudanganyana kwenye vijiwe vyenu...
Na amefanikiwa kufunga mdomo kweliHapo ndio watu wapate akili, ile kauli ya Samia juzi kuwa yupo tayari kutoa ushindi kwa upinzani kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kisiasa ilikuwa ni usanii mtupu.
Huyu aliyeonesha uroho wa madaraka kwa kuwashughulikia "wapinzani" wake ndani ya serikali yake, na kuwasogeza karibu watoto wa marafiki zake kwa ajili ya ulinzi wake, hawezi kufanya hivyo.
Kitendo chake cha kukimbia hapo kinaonesha vile mind yake ilivyo, kwake mtu anayedai Katiba Mpya ni kama adui yake, ndio maana akampa Mbowe kesi ya uongo ili kumfunga mdomo.
Illusion, and the struggle to perfume faeces and trying to fit in...inawezekana ni fashion ila wewe kwa ushamba wako hujui.
..usione nguo au kiatu kimepauka ukadhani ni cha bei rahisi, wakati mwingine ni fashion na bei yake ni aghali.
Tulieni muone wazalendo wenyewe. Huku nyie si mpaka Mbebe Mabomuhao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!
yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
..you need to update yourself on fashion trends.Illusion, and the struggle to perfume faeces and trying to fit in.
Hatuna Rais hapa.Rais anawakimbia watanzania wenzake tena ugenini hii ni aibu kwake
Kadanganye wajinga wenzio kwenye vijiwe vya CHADEMA huu utoto..you need to update yourself on fashion trends.
🤣🤣🤣🤣🤣Unadhani walienda Marekani kununua raba? huu ujinga wako ni wa kiwango cha SGR.