kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
-
- #121
bunduki ile iwe haina kitu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣Hahah jamaa ni kama identity yake na nina uhakika ile bunduki pale siku ile ilikua haina risasi ila kwa ajili ya show off kama wale wanajeshi siku ya Uhuru wakipita na mabunduki makubwa ila hazina risasi ni kwa ajili ya maonesho.
Hivi kati ya huyo wa Bukinafaso na wa Tanzania, yupi ana uafadhali?Sababu tunazo mkuu za kumchukia...
Wanatumia sana hao watu wasio na uwezo kuficha madhaifu Yao.Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Mada Yetu hapa sio hiyoHivi kati ya huyo wa Bukinafaso na wa Tanzania, yupi ana uafadhali?
Mara 100 💯 wa kwetuHivi kati ya huyo wa Bukinafaso na wa Tanzania, yupi ana uafadhali?
Mtu wa maana kabisa huyoBaadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
Mada yenu ni ipi?Mada Yetu hapa sio hiyo
definitely for reasons! wakoloni, walitunyonya na bado wanaendelea kutunyonya, siwataki, wasije kwangu, fukuza majeshi ya ufaransa.........and so many others of the like! Sasa hayondiyo ushujaa? amefanikisha nini? la kuwasaiia masikini wake?Kawasema vibaya for nothing or for reasons ukilijua Hilo ndio utajuwa kwann jamaa anapewa maua yake
Je serikali hii ni ya kiraia au ya kijeshi,tuanzie hapa kwanzaHauna tofauti.
Kwa hii hoja yako daktari akipewa nchi azunguke na mabarakoa yake.
Sio amiri jeshi mkuu tu.
Ni mwajiri mkuu wa utumishi
Ni mkuu wa wizara zote kuanzia afya mpaka michezo
Na ndio maana sio kila sehemu anatakiwa awe na taswira ya kijeshi, kwani uraisi si jeshi tu.
Na Museveni na je Kagame vipi wameishia wapi nao?Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Watanzania wengi ni wajinga, ndio maana watawala wao wanadalalia rasirimali zao, wanabaki wanaishi kama kuku wa kienyejiNaona wadau mnamchukia huyu dogo bila sababu
serikali ya kijeshi inasema popote atakapokuwa raisi hata kwenye masuala yasiyo ya kijeshi awe amevaa uniform?Je serikali hii ni ya kiraia au ya kijeshi,tuanzie hapa kwanza
Hii kanuni inatoka ibara ya ngapi ya katiba?Ukishakuwa kiongozi wa nchi unavaa uanasiasa. Narudia, kuvaa vaa makombat ya kijeshi kila sehemu ni ujinga hata kama unampenda.
Nilitaka jibu hilo tu basi expert wanguserikali ya kijeshi inasema popote atakapokuwa raisi hata kwenye masuala yasiyo ya kijeshi awe amevaa uniform?
Kwa hiyo wale wasiosema "Africa, mabeberu na mapebari ndio viongozi bora? wamefanya ni cha maana kwenye taifa hili, niseme tu, Watanzania wengi ni WAJINGA wasiojua ni aina gani ya uongozi na kiongozi anafaa Kwa maslahi yao, ndio maana watawala wenu wanadalalia rasirimali zenu mnabaki kuishi kama kuku wa kienyeji...bahati mbaya sana, hao mnaowasimanga na visiredi vyenu vya kipuuzi ndio walipendwa na kukubalika na kundi kubwa la wananchi.Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Mkuu, kama unapenda magwanda yake sawa hata yeye huenda anayapenda ndo maana anayavaa kila eneo ila maoni yangu yatabaki kuwa ni ujinga kwa raisi wa nchi kuvaa magwanda kila sehemu bila kujali kanuni inaruhusu au la.Hii kanuni inatoka ibara ya ngapi ya katiba?
As long as there are tangible things and a common mwananchi is happy that's what matters, because other leaders steal from the people and worse more no tangible development for the coommon mwananchi and happiness index score remain at the most bottom reading of the gaugeThey are scientifically called, " populist leaders". They always blackmail as to attract and win the support of an ordinary people at the expense of superficially insubordinate the western world and colonialism as a whole, meanwhile plundering our wealthy and safeguarding their own interests and more so, staying in power timelessly.
Meanwhile jamaa kashalipa made ni yote ya IMF nchi yake haina deni,na kakataa misaada,kwa mda wa two years amekusanya dhahabu ya kutosha wakati anaingia haikuwepo. Mbona wabongo mpo nyuma na habari za dunia?? Is it you ulieandika hapo juu?? Do you know anything kuhusu Thomas Sankara?? Achana na ule upuuzi wa Magufuli kujitafutia misifa.Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Punguza makasirikoKwa hiyo wale wasiosema "Africa, mabeberu na mapebari ndio viongozi bora? wamefanya ni cha maana kwenye taifa hili, niseme tu, Watanzania wengi ni WAJINGA wasiojua ni aina gani ya uongozi na kiongozi anafaa Kwa maslahi yao, ndio maana watawala wenu wanadalalia rasirimali zenu mnabaki kuishi kama kuku wa kienyeji...bahati mbaya sana, hao mnaowasimanga na visiredi vyenu vya kipuuzi ndio walipendwa na kukubalika na kundi kubwa la wananchi.