Upambavu ni kudhani maoni yako ni sheria, leta sheria inayosema kiongozi wa nchi anapaswa kuvaa nguo zipiMkuu, kama unapenda magwanda yake sawa hata yeye huenda anayapenda ndo maana anayavaa kila eneo ila maoni yangu yatabaki kuwa ni ujinga kwa raisi wa nchi kuvaa magwanda kila sehemu bila kujali kanuni inaruhusu au la.
Kuwa mkwel wa nafsi yako kuhusu flyovers, sgr, mabwawa ya umeme, airports, tanesco n uwajibikaji wa watumishi wa umma. Tar za mishahala na ile stend ya mabasi ya mikoani pale mbezi dsm. Kisha tuongeeUkishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Du kazi kwelikweli tupo nyuma sana wabongo,haya turudi kwenye kuishangilia Israel inaua wapalestinaAkiwekeza kwenye propaganda
Mkuu sijaelewa hapo mwisho una maanisha Pool Table Africa au?kuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.
pool africa
Anao walinzi hiyo bastola ni sehemu ya uniform zake relaxHicho kibastora kiunoni kinazuia mamluki kumdhuru?
Unadhani angejua kuna mamluki na usalama wake mdogo angeenda kisa tu ana kibastora kiunoni? Yani washindwe kutumia MANPADS kudungua ndege, au ATGM au RPG kupiga gari lake, waje karibu yake kumdhuru na walinzi wake washindwe mpaka yeye atumie kibastora chake kujiokoa. Hii ni maajabu.
In case anahitajika kufa, hiyo bastora haina msaada wowote. Wakati anafanya mapinduzi kumuondoa kiongozi wa kijeshi akiyekuwepo, nadhani ni Damiba silaha ya Damiba haikumsaidia kitu.
Ukweli unaumiza,ukweli unafungua akili.Natamani nikuzabe vibao
Wewe umefanikisha lipi? Mbowe tu umeshindwa kumpa uwenyekiti. Dogo Traore ni shuja wa kwako muafrika taka usitake. Mambo mengi mazuri kuifanya nchi yake ijikwamue kiuchumi kayafanya, yatafute yameandikwadefinitely for reasons! wakoloni, walitunyonya na bado wanaendelea kutunyonya, siwataki, wasije kwangu, fukuza majeshi ya ufaransa.........and so many others of the like! Sasa hayondiyo ushujaa? amefanikisha nini? la kuwasaiia masikini wake?
Afu utasikia huyu ndio kiboko ya mabeberu.very sad , najiuliza kwanini waafrika maboya wanamuona huyu jamaa kama hero? Kisa Kamsema vibaya macron, kaisem vibaya France...... Hilo tu ameshakuwa shujaa! Rubbish!
Weka takwimu za deni la taifa kabla ya yeye kuingia madarakani na saivi!Meanwhile jamaa kashalipa made ni yote ya IMF nchi yake haina deni,na kakataa misaada,kwa mda wa two years amekusanya dhahabu ya kutosha wakati anaingia haikuwepo. Mbona wabongo mpo nyuma na habari za dunia?? Is it you ulieandika hapo juu?? Do you know anything kuhusu Thomas Sankara?? Achana na ule upuuzi wa Magufuli kujitafutia misifa.
Anawakwamua kiuchumi kwa kuziba mianya yote ya ufaransa na kutengeneza misingi imara kwa kushirikiana na Urusi na China sababu hawa ndio wanauchungu sana na sisi waafrika ni wajombazetu kabisa hawa!.Wewe umefanikisha lipi? Mbowe tu umeshindwa kumpa uwenyekiti. Dogo Traore ni shuja wa kwako muafrika taka usitake. Mambo mengi mazuri kuifanya nchi yake ijikwamue kiuchumi kayafanya, yatafute yameandikwa
Mkuu hawa ni walewale wafuasi wa mungu wa masikini waliokua wanasema munguwao anatekeleza miradi ya maendeleo bila kutegemea mabeberu ukiwauliza deni la taifa lilifikia kiasi gani hawaelewi!Weka takwimu za deni la taifa kabla ya yeye kuingia madarakani na saivi!
Uwekezaji unakua unafanyika kwenye propagandaMkuu hawa ni walewale wafuasi wa mungu wa masikini waliokua wanasema munguwao anatekeleza miradi ya maendeleo bila kutegemea mabeberu ukiwauliza deni la taifa lilifikia kiasi gani hawaelewi!
Umri sio kipimo cha uongoziBoya wewe. Kwa umri alionao na nafasi aliyoshika, ni ishara kwamba jamaa ni kichwa. Angalia anavyoweka misingi ya maendeleo ya nchi.
Kama mchina na mrusi wanakaa nae mezani kumpa win win deal hao ndio nduguzake lazima aambatane nao, fcuk the restAnawakwamua kiuchumi kwa kuziba mianya yote ya ufaransa na kutengeneza misingi imara kwa kushirikiana na Urusi na China sababu hawa ndio wanauchungu sana na sisi waafrika ni wajombazetu kabisa hawa!.
We waache moka watakapoona Burkanfaso inanunua ARVs wao wanasubiri za mkopoHawa jamaa wananishangaza, yaani westerners wanamgwaya huyu kamanda halafu dogo mmoja anayeishi kwa shemeji anamuona boya
Siku alipozindua kiwanda cha kusindika nyanya watu walimpongeza sana,sijui mpaka sasa kazindua viwanda vingapi.Uwekezaji unakua unafanyika kwenye propaganda
very soon... anaweza akakaa na mabeberu akaongea nao kuwa hili si zuri. nyinyi n wenzetu, ya ukoloni myaache. Tufanye mambo yetu kwa usawa. Mfano, chimba madini, lakini tugawane say 60% ziwe zetu maana sisi tunauhitaji kubwa by 40% ziwe zenu. Mnasemaje? unawasikiliza...Afu utasikia huyu ndio kiboko ya mabeberu.
Mimi binafsi na bet huyu dogo nae atapinduliwa.
Ni kweli hujuhii aiseekutokuwa na bunduki mbele ya Vladimir putin kwangu mimi nimeona udhaifu mkubwaa sana mkuu sijuhi kwako
Nimesema ni ujinga sijasema ni kinyume cha sheria. Kuna sehemu umeona nimesema ni kinyume cha sheria?Upambavu ni kudhani maoni yako ni sheria, leta sheria inayosema kiongozi wa nchi anapaswa kuvaa nguo zipi
Huyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje