Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Sasa umoja wa Africa utasema nini akati Congo ndo wamewapa? Huwez kuingilia sovereignty ya nchi kwenye mambo ya kiuchumi..Wachina wamemaliza miti huko Congo
Umoja wa Africa umekaa kimya
Tatizo sio letu tu bali linaanzia mbali na waafrika kwa njaa zetu hata tukiambiwa vichwa vya watoto ni dili najua wataleta tu itakuwa Magogo?
Duuh!
Duh...Ni wakati mzuri wa kwenda kuvutia bangi pale juu
Ni kipindi gani ni kizuri kwenda huko? Hilo wazo la kunibeba nimelipenda.
Ila mwaka kulikuw na bard sana na hiyo pcha nlipga mimi june2021View attachment 2013199
Sasa umoja wa Africa utasema nini akati Congo ndo wamewapa? Huwez kuingilia sovereignty ya nchi kwenye mambo ya kiuchumi..
Wa kulaumiwa ni serikali ya Congo..
Ni kama vile Tanzania inavojenga bwawa la umeme kule selous.. Ikitokea shida ya kimazingira, utaanzaje kuilaumu Umoja wa Africa?.
Aisee
Kupanda miti ni njia mojawpo lakini njia nyingine na muhimu sana ni kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda hasa kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Ulaya, China, Japan n.k. Tatizo la hewa ya ukaa ndio linachangia kwa asilimia kubwa kutokea kwa mabadiliko ya tabia nchi hapa duniani. Bila haya mataifa tajiri yenye viwanda vikubwa na vingi kuafuta njia ya kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda vyao hata kama tutapanda miti huku afrika hiyo miti na yenyewe itafikia mahali itanyauka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.
Saruji au theluji ??!!!Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Umesema sahihi.Wachina wamemaliza miti huko Congo
Umoja wa Africa umekaa kimya
Tatizo sio letu tu bali linaanzia mbali na waafrika kwa njaa zetu hata tukiambiwa vichwa vya watoto ni dili najua wataleta tu itakuwa Magogo?
Huwa nashangaa inakuwaje serikali kama tanzania inakumbatia parasites kama hawa.?Wachina hawa ni kuwachoma tu View attachment 2013326
Na wanaowafadhili pia
Aisee watz tuna kazi sana. Hii ndio solution umeamua ku propose??[emoji23][emoji23][emoji23]KWISHA HABARI YETU....
unaweza kucheka kama mazur lkn ndio hivyo tena the roof of Afrika inapoteketea kwa kupoteza sifa zake, na heshima yake,
madhara tutayapata sisi wamilik wa hizi rasilimal kwa kupungua kwa watalii,
maana sifa mojawapo ya huo mlima ilikuwa kuwa na barafu ktk nchi za joto, na mlima pekee afrika, hivyo basi wagen wakishajua baazi ya sifa za huu mlima zmepotea, nani atapoteza muda wake kuja kupanda ilo limwinuko[emoji23][emoji23][emoji23]..
serkal ifanye kila liwezekanao kuokoa ama kupunguza madhara ya mabadiriko haya, iwe ni kupitia spiritual activities , ama environmenmental activities za kupunguza kasi ya mabadiriko,
spiritual activities zihusishe makuhani wa imani zote, yaan imani za jadi na imani za kigeni yaani dini za kuja ukristo&uislam
lipigwe zindiko moja la heshima na makafara ya wanyama uku wakialikwa waganga mashuhuri na wasoma nyota wote waje watutabilie why this,
pia yapigwe maombi ya nguvu wakialikwa wakina lusekelo mzee wa upako, gwajiboy, mwakasege, mwamposa, na wale wote waliojipa majina makubwa makubwa,
nazan kwa kufanya hiv tutakuwa tumethubutu kuyaokoa mazingira yetu AU NATANIA NDUGU ZANGU?(in magu's voice)
Tatizo linaanzia hapa!
Hatuna cha kuongea, hayo mabadikiko kwa kiasi kikubwa hayajachangiwa na waafrika wala bara la Afrika.Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Huwa wanashauriana mkuu hata umoja wa Ulaya na nchi nyingine zilizoungana huwa ushauri na makubaliano huwa yapo
Kumbuka congo Ina mito yenye urefu wa 3,690,750 km2 ambapo yanafika baadhi Congo Brazzaville,Cameroon, CAR,Burundi,Tanzania,Zambia na Angola
Sasa mkuu kama uharibifu wao utazidi huoni wengi tutaathirika?
Huoni kuwa dunia yote hii tuna share vitu?
We nae kichaa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]KWISHA HABARI YETU....
unaweza kucheka kama mazur lkn ndio hivyo tena the roof of Afrika inapoteketea kwa kupoteza sifa zake, na heshima yake,
madhara tutayapata sisi wamilik wa hizi rasilimal kwa kupungua kwa watalii,
maana sifa mojawapo ya huo mlima ilikuwa kuwa na barafu ktk nchi za joto, na mlima pekee afrika, hivyo basi wagen wakishajua baazi ya sifa za huu mlima zmepotea, nani atapoteza muda wake kuja kupanda ilo limwinuko[emoji23][emoji23][emoji23]..
serkal ifanye kila liwezekanao kuokoa ama kupunguza madhara ya mabadiriko haya, iwe ni kupitia spiritual activities , ama environmenmental activities za kupunguza kasi ya mabadiriko,
spiritual activities zihusishe makuhani wa imani zote, yaan imani za jadi na imani za kigeni yaani dini za kuja ukristo&uislam
lipigwe zindiko moja la heshima na makafara ya wanyama uku wakialikwa waganga mashuhuri na wasoma nyota wote waje watutabilie why this,
pia yapigwe maombi ya nguvu wakialikwa wakina lusekelo mzee wa upako, gwajiboy, mwakasege, mwamposa, na wale wote waliojipa majina makubwa makubwa,
nazan kwa kufanya hiv tutakuwa tumethubutu kuyaokoa mazingira yetu AU NATANIA NDUGU ZANGU?(in magu's voice)
Jamaa anakuambia Mungu atunusuru wakati kila mwaka iyo hali inatokeaAthari za mabadiliko ya tabia nchi