Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Haaaaahaaaa

Evelyn Salt
 
lakini mara nyingi consequences za jambo lolote ni juu yako wewe mwenyewe
 
Nimemkumbuka demis
 
Hivi kuanza kumtumia mwanaume mapicha ya uchi akili iko sawa kweli?[emoji848]

Mi huwa nashangaa sana
 
Aise hali ni mbaya..hivi mtu unawezaje kuambiwa babe nitumie picha zako za utupuw nawe ukakubali jamani [emoji2296][emoji2296]Yatupasa tuwe makini zaidi

Hali inatisha hakika.[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Si umezama penzini dear[emoji848]
 
wakati mwengine, ndio maana ni ngumu kumpost mtu

Wee unapost kwa kujiachiaa...

Alafu njemba inakuandikia..."Nmechakata Jana" ..na picha hizi hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukute wee Ndo umeweka makazi ya kudumu mamaeeee!!!
katika vitu hunifanya nijichukie ni hicho..
una mpeti peti demu unamuona wa thamani kumbe hapo upo nae ametoka kuliwa anakurembulia mimacho tuu..kmmk mbichi
 
Nimecheka sana yani hujamchelewesha mapema kabisa ukamkumbusha mapito. Ila kwa hali ya kawaida mtu kama the Jackal hawezi kosa mahusiano humu. Wengine ambao lazima wawe wamepitia hii ni yule mshambuliaji wa zamani wa Chelsea mwenye avatar ya bia.
Kuna watu humu wanajionaga wajanja kumbe wanajichoresha tu, tatizo ujana na ujuaji mwingi kumbe ujinga anaofanya wengine tumestaafu
 
Ilikuwa kati ya 2018 na 2019 hivi, kipindi hicho mambo yalikuwa moto, akina ngabu, fisadi kuu, mamasabrina nk
Unajua JF ya 2017 mpaka 2019 ilikuwa bomba tofauti na hii ya 2020 na 2021 ambazo wanaotamba ni kina Gsam kila kifo kikitokea wanasema ni corona. Mimi nammiss Demiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…