ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAGONJWA WANNE WALIOPANDIKIZWA FIGO MLOGANZILA WARUHUSIWAMxiuuuu!!
Bado hizo plastic surgery zina risk kubwa sana, hata huko kwa wenzetu walio mbali kiteknolojia na ujuzi. Angalizo la mleta uzi ni vyema likazingatiwa na watakaoamua kufanyiwa aina hiyo ya upasuaji. Hata Asia jambo hili limewatesa sana waliokwenda kufanyiwa upasuaji huko.uzi tayari 😂😂
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..
mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya Moto
.. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india au marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.
Kupasua kichwa badala ya goti.
issue ilisha kuwa solved kitambo.. tena jwa tume iliyoundwa na serikali .. halikuwa kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo. wanaendelea na upasuaji kama kawa.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J , na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi.. hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa..
kila leo operations za moyo zina fanyika muhimbili .. na wagonjwa wana pona..
licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari... ) Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana.. ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Africa mashariki utagundua take home za madokta bongo ni dhaifu sana.. ndiyo maana mna wachukulia poa..
Facts.
Hata kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania mfano Emergency medicine hawana kule kwao . ila kuna mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.
Jiulize kwa nn wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine.. ? kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza ?!
Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno.. wana kuja Bongo ku take notes..
Hospital ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S.. mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza.. wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!
Kuhusu hizo operation
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.
- hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wameji ridhisha na utaalamu wanaweza.
- bilas shaka " watu wa system" wameridhia hii kitu.. wameona faida na madhara..
-hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa
ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Kwani watafanya bure? Watu watalipia hizo hudumaMloganzila wanachezea pesa walipa kodi....badala deal magonjwa sumbufu mnakuza makaluo ili iweje ? Shamee
Unahimiza wenzako wawe Guinea pigs!!!Ni muhimu kuanza kuliko kuogopa kuanza watakao fanikiwa ni sawa ambao hawatafanikiwa wafanya operation watapata uzoefu kupititia wao,miaka itakavyokwenda ndivyo ubora utakavyo ongezeka ,narudia ni bora kuanza kuliko kuogopa kuanza
Kama mpaka imetangazwa au kuandikwa kwenye vyombo vya habari basi hizo taratibu zote zimeshafanyika.Mimi nadhani kwa matibabu amabyo ni ya urembo, wanatakiwa wapate ridhaa ya Serikali kwanza, na si kwa wao kujiamulia tu
Nina shaka kama leseni za kazi zao zinawaruhusu pia kufanya matibabu ya urembo ambayo hatukuwahi kuwa nayo hapo kabla
Mungu huyo, Hakujua kwamba binadamu watakuja kumkufuru kwa kuwapa maarifa mengi?Hii dunia bhana!,Maarifa yanatupeleka kubaya kiasi cha kumkufuru Mungu wetu,Juzi kuna Sehemu nimeona andiko kuwa Wanasayansi kufika mwaka 2040 watakuwa na uwezo wa kufufua wafu.Hii ni ajabu.Tuombe tu Mungu aturehemu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mtoa mada angetoa angalizo kuhusu complications au risks zinazotokana na operations au procedures za urembo lakini siyo kukandia na kukashifu Madaktari kama vile hakuna mazuri waliyowahi kuyafanya. Hatukatai makosa huwa yanaweza kutokea lakini je, makosa ni asilimia kubwa kuliko yaliyofanikiwa mpaka mtu ana-rule out kuwa wote ni vilaza? Au mwenzetu anatibiwa nje ya nchi akiugua?Bado hizo plastic surgery zina risk kubwa sana, hata huko kwa wenzetu walio mbali kiteknolojia na ujuzi. Angalizo la mleta uzi ni vyema likazingatiwa na watakaoamua kufanyiwa aina hiyo ya upasuaji. Hata Asia jambo hili limewatesa sana waliokwenda kufanyiwa upasuaji huko.
Traaako hilo babu😅Hili ni shamba la viazi ama ni nini 🥴
Ni kweli usemayo. Hapa bongo kila kitu kinaendeshwa kimagumashiNchi za Kiafrika zimejaa madaktari fake, mloganzila hata jina lenyewe reflection yake ni mauaji au kifo, nakazia tutawapoteza wanawake wengi wengi sana
Makosa ni mengi kuliko mazuri ndiyo maana viongozi wetu wakipatwa hata na mafua wanaenda kutibiwa nje ya nchi kwenye tiba za kiwango bora. Siyo kama hapa wanapobahatisha..Mtoa mada angetoa angalizo kuhusu complications au risks zinazotokana na operations au procedures za urembo lakini siyo kukandia na kukashifu Madaktari kama vile hakuna mazuri waliyowahi kuyafanya. Hatukatai makosa huwa yanaweza kutokea lakini je, makosa ni asilimia kubwa kuliko yaliyofanikiwa mpaka mtu ana-rule out kuwa wote ni vilaza? Au mwenzetu anatibiwa nje ya nchi akiugua?
Hajui huyu tunavoumia Muhas. Na course work za prof kahambauzi tayari [emoji23][emoji23]
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..
mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya Moto
.. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india au marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.
Kupasua kichwa badala ya goti.
issue ilisha kuwa solved kitambo.. tena jwa tume iliyoundwa na serikali .. halikuwa kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo. wanaendelea na upasuaji kama kawa.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J , na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi.. hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa..
kila leo operations za moyo zina fanyika muhimbili .. na wagonjwa wana pona..
licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari... ) Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana.. ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Africa mashariki utagundua take home za madokta bongo ni dhaifu sana.. ndiyo maana mna wachukulia poa..
Facts.
Hata kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania mfano Emergency medicine hawana kule kwao . ila kuna mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.
Jiulize kwa nn wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine.. ? kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza ?!
Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno.. wana kuja Bongo ku take notes..
Hospital ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S.. mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza.. wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!
Kuhusu hizo operation
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.
- hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wameji ridhisha na utaalamu wanaweza.
- bilas shaka " watu wa system" wameridhia hii kitu.. wameona faida na madhara..
-hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa
ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Sasa kukariri hayo manotes unadhani ndiyo udaktari. ? Unaongea matope!!Hajui huyu tunavoumia Muhas. Na course work za prof kahamba
Ahsante sana kwa kutoa ufafanuzi mzuri sana tunamkaribishauzi tayari 😂😂