Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nishawahi acha mwanamke baada ya kugundua ana michezo hii ,na nikamwambia mimi na ww hatuwezi endelea. sababu unachopenda sicho nachopenda ,
Akaniomba msamaha kwamba amebadilika na ndomana akatafta mtu mstarabu ili aachane na mambo hayo maana pana mtu alimwaribu. nikamwambia siwezi maana kama hii kitu situmiii ,ipo siku itakuwasha utapeleka kwa wanaotumia ...
ikawa ndo mwisho wetu ila nilimtunzia siri akaja akaolewa na jamaa fulani kwa sasa marehemu ,ila tumebaki washkaji tu
Kuna mtaa mmoja Upo tandika aisee ni balaa mpaka madalali wapo yaani Sodoma na Gomora [emoji16]
Mkuu hii kode nshamjua mlengwa!! My Kaniblok shaur akoKabisa na usiwe na wenge la kumpost post maumbile yake online.
Siyo Unampost mkeo katupia skin jeans na hips anavutia kweli halafu unaandika caption pisi kali. Sijui unatafuta sifa kwa nani za nn?
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?
Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.
Hahaha.Mkuu hii kode nshamjua mlengwa!! My Kaniblok shaur ako
Ilipita ndio akakupiga?Maana kama ni hivyo watu washazama ungeomba kwanza angekupa kwa hiari.aisee hawa wanaotaka kuliwa wenyewe huwa mnawatoa wapi?
mi kuna mmoja juzi nimejifanya alwatan nikazamisha bila kuomba aisee nilikula kofi moja matata sasa na gem ikaishia hapo
Tandika sehem gan kaka ili tukisikia manzi anatoka kipande hcho uwe nae makin
Huyu hakuniweka wazi mzee nilikundua mwenyewe kwa kuota kwenye njozi kwamba anafanya hivyo vitendo ,ndipo nilipomkabiri na kumwambia kuwa ww unafanya haya ,akakubali na kukiriDuh bora hata huyo aliekueka wazi wengn marinda imelegea kabisa na hakuambi
mkuu omba mungu akuweke mbali na hivi vitu ,mwisho wake sio mzuri na wala si vyakujaribu ,ushinde tu moyo wakoConnection basi jameni
hapana kiongozi sifahamuJe, unajua kilichomuua huyo jamaa?
Huyu hakuniweka wazi mzee nilikundua mwenyewe kwa kuota kwenye njozi kwamba anafanya hivyo vitendo ,ndipo nilipomkabiri na kumwambia kuwa ww unafanya haya ,akakubali na kukiri
Ahh enjoy pochi manyoya tu mzee wangu acha tu 0715
hapana kiongozi sifahamu
Ni pm namba yake mkuu nitakutumia 100kAmina km minah
Kwani nikki wa pili yumo humu !!!??Kabisa na usiwe na wenge la kumpost post maumbile yake online.
Siyo Unampost mkeo katupia skin jeans na hips anavutia kweli halafu unaandika caption pisi kali. Sijui unatafuta sifa kwa nani za nn?
Ni pm namba yake mkuu nitakutumia 100k