Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Dah nishawahi acha mwanamke baada ya kugundua ana michezo hii ,na nikamwambia mimi na ww hatuwezi endelea. sababu unachopenda sicho nachopenda ,
Akaniomba msamaha kwamba amebadilika na ndomana akatafta mtu mstarabu ili aachane na mambo hayo maana pana mtu alimwaribu. nikamwambia siwezi maana kama hii kitu situmiii ,ipo siku itakuwasha utapeleka kwa wanaotumia ...

ikawa ndo mwisho wetu ila nilimtunzia siri akaja akaolewa na jamaa fulani kwa sasa marehemu ,ila tumebaki washkaji tu

Je, unajua kilichomuua huyo jamaa?
 
Kabisa na usiwe na wenge la kumpost post maumbile yake online.

Siyo Unampost mkeo katupia skin jeans na hips anavutia kweli halafu unaandika caption pisi kali. Sijui unatafuta sifa kwa nani za nn?
Mkuu hii kode nshamjua mlengwa!! My Kaniblok shaur ako
 
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?

Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.

Mambo ya faragha ama sivyo![emoji276]
 
aisee hawa wanaotaka kuliwa wenyewe huwa mnawatoa wapi?
mi kuna mmoja juzi nimejifanya alwatan nikazamisha bila kuomba aisee nilikula kofi moja matata sasa na gem ikaishia hapo
Ilipita ndio akakupiga?Maana kama ni hivyo watu washazama ungeomba kwanza angekupa kwa hiari.
 
Back
Top Bottom