Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Usitukane mtu ambaye humjui ni nani na hujui anafanya nn au anapitia nini kwa wakati huo.. Jifunze hilo

Then inaonekana haupo matured enough, kuweza kuelewa haya mambo ya mahusiano yalivyo. Inaonekana unachukulia personal sana vitu vidogo vidogo

Siwezi kubishana na wewe , ila ukweli ndio huo. "The past doesn't Matter"

Mm kujua ww ni nan unafany nn hilo halinihusu hukulazimishwa kucoment km ulivyocoment kuwa inanihusu nn”km kwako unaona ni karaha ungekausha sio mnajibu utumbo mkijibiwa vibaya mnaanz kuona km mmekosewa
 
Mkuu mwanamke anatakiwa kuwa anajielewa tu na awe na heshima. Hayo mengine kama ashawahi sijui kuliwa jicho, sijui ashawahi kutoa mimba au ashakaa geto na mshkaji wewe yanakuwa yanakuhusu nini haswa?? Kama jicho wewe hutumii na walishawahi kutumia wengine watajijua wenyewe huko na madhambi yao. Wewe cha kuzingatia ni kama mwanamke anakupenda, anakuheahimu na anajielewa basi

Ungewahi kuwa ndani ya mahusiano na mwanamke anayeliwa 0715 ungeelewa.... Hakika hakuna amani kwenye kumuoa Mwanamke aliyetolewa marinda.... Ishu yake kwenye uzazi utamuonea huruma na kuishia kubaki na aibu tupu....
Over [emoji120]
 
Kuna mtaa unaitwa Bububu na bandari ukiona watoto wakike wamekaa barazani mida ya saa 4 usiku fanya kuenda kuomba kipochi tu unapewa 0715 [emoji16]
Huu mtaa naujua si hapa kule tandika magorofanu
 
Lakini hakuna ambaye ndani ya uzi huu ameonyesha kuunga mkono kitendo cha kula 0715!!! Hilo ni Moja lakini pia inamfaa nini mwanaume kumuingilia mwanamke kwenye 0715 na kuwa na adhabu ya Dada & Mama au Mke wake mtarajiwa kufanyiwa hivyo???$
Hakuna aliyeunga mkono tendo hilo ndani humu
Tumia namba ingine taja 0717, hio 0715ni namba za watu inaleta kelo
 
Nakazia mwanaume yeyote anayemwomba mwanamke mchezo huo hajiheshimu,hajitambui,haijui thamani yake kama mwanadamu,vipi akuheshimu ,akutambue na aijue thamani yako wewe kama mwanadamu,bidada? love your self girls and women out there.Mwanaume akupendaye kwa dhati kamwe,narudia tena KAMWE hawezi kukuomba mchezo mchafu kama huo.
Feminists mna hali ngumu mnooooo
 
Wewe unafanywa sio kwa kujitetea huko
Umeshajiuliza Kwann unaumia ukifahamu mkeo alikuwa anatumiwa kupitia njia tofauti?

UTAKUFA MAPEMA KISA MWANAMKE. FURAHIA MAISHA ULIYOPEWA USIWEKE FURAHA YAKO KWENYE MAUNGO YA BINADAMU MWINGINE.

DUNIA ISHAKUWA TOFAUTI SANA HAYO MAMBO UNAWEZA SHANGAA HATA BINTI YAKO ANAYAFANYA.
 
Wewe unafanywa sio kwa kujitetea huko
Kuwa makini soma uelewe, Nimetoa ushauri ili kupunguza idadi ya wanaume wanaokufa kwa presha sababu ya maungo ya mwanamke, hakuna mahala nimejitetea maana sina uhusika.

Halafu kwann akili yako imekimbilia kuwaza kufanywa?
Mpaka umelitamka hilo neno kuna mambo umeyafikiri.
 
Feminists mna hali ngumu mnooooo
Look at you Kwa hiyo kutetea hali njema ya wanawake ni ufeminist,siamini nachokisikia kwa hiyo hata binti yako akiwa anajitetea dhidi ya watu kama Hawa atakuwa feminist,Una kazi kweli kweli jamaa yangu .........

Acha tabia mbaya mkuu Acha kuwatendea kinyume watoto wa wanaume wenzio,ukiwaendea na mabinti zako wataendewa,
 
Nakumbuka kuna mdada alikuwa anaitwa Amina nilimuelewa balaa maeneo ya Temeke... Duuh nilimuomba kipochi manyoya nimepiga raundi mbili akataka kuilengesha kule aisee nilimpiga maneno mpaka akawa mpole... Eti alitaka anipe hela 30k nimle nyuma raundi moja tu [emoji16][emoji16][emoji16] Nyie hawa watu hatari sana
Mkuu Damaso naomba namba ya Amina ifikishe PM kwangu tafadhali
 
Wakuu yaani Huyu #Amina ni mtu hatari sana na ninaona hakuna ladha kwenye kinyeo [emoji16] Chukua manzi piga kwenye kikojoleo Nina Imani Hapo ndo mambo yote....
Ninatafuta namba ya bi mdada Amina ila nadhani Mungu ananirudisha nyuma Kabsa.... Jana nimepita tandika ila sikuwa na wazo hilo Kabsa [emoji16] Tuacheni hizi mambo [emoji1493]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Look at you Kwa hiyo kutetea hali njema ya wanawake ni ufeminist,siamini nachokisikia kwa hiyo hata binti yako akiwa anajitetea dhidi ya watu kama Hawa atakuwa feminist,Una kazi kweli kweli jamaa yangu .........

Acha tabia mbaya mkuu Acha kuwatendea kinyume watoto wa wanaume wenzio,ukiwaendea na mabinti zako wataendewa,
Maoni yako yapo biased sana
 
Back
Top Bottom