the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
- Thread starter
- #241
Usitukane mtu ambaye humjui ni nani na hujui anafanya nn au anapitia nini kwa wakati huo.. Jifunze hilo
Then inaonekana haupo matured enough, kuweza kuelewa haya mambo ya mahusiano yalivyo. Inaonekana unachukulia personal sana vitu vidogo vidogo
Siwezi kubishana na wewe , ila ukweli ndio huo. "The past doesn't Matter"
Mm kujua ww ni nan unafany nn hilo halinihusu hukulazimishwa kucoment km ulivyocoment kuwa inanihusu nn”km kwako unaona ni karaha ungekausha sio mnajibu utumbo mkijibiwa vibaya mnaanz kuona km mmekosewa