Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Potelea mbali! Sisi wanaume yanasaidia sana kutopata michubuko.
 
Bamia mnainathibisha na nini?
Sababu ya ule utelezi mnahisi unaenda moja kwa Moja hadi kwenye magoti au uke???
Issue ya Bamia mimi sihusiki,hilo jambo hata mimi leo ndio nimelisoma humu tu kwa mara ya kwanza,

Hata hivyo siwezi kuwabishia wanaoamini hilo coz huenda walisha jaribu na wakaona matokeo yake.
 
Huu uzi asipokuja Binti wa zamani nitashangaa sana.

binti kiziwi una maoni gani hapa?
Ni kweli, naunga mkono hoja 😅

Ni vile basi tu na kwasababu za kidunia lakini ukweli ni kwamba k haitakiwi kuingizwa chochote zaidi ya ….

Na hata hiyo naniiii….. inakuja na complications zake, You have to be real healthy to mentain your PH . For my fellow celibacy women/part time celibacy understand this.
 
Hakuna kama hichooo sheeehee maisha yalivyooo magumu wake zetuu woteee mashinee kavuu kuingia mpaka uwe na vilainishi else utumie AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…