PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
 
Acheni kuteka na kuua watu 📌
Tendeni haki 📌
Wasikilizeni wananchi 📌
Punguzeni ufisadi 📌
Ruhusuni katiba mpya 📌
Inueni uchumi wa watu wenu 📌
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi 📌
Shughulikeni na ajira kwa vijana 📌
Punguzeni nepotism 📌
Acheni kuiba kura 📌
Acheni kunyanyasa wapinzani 📌
Ruhusuni watu waseme 📌

Kutoyazingatia haya machache kutazidi kuchochea moto mioyoni mwa watu. Na nchi haitakuwa salama. Kunaweza kuwa na utulivu lakini kusiwe na amani. Ni kama kuwa na bomu chini ya kitanda chako!

Kwa sasa mnaweza kufurahi na kupongezana kuwa mmefanikiwa kuzuia maandamano tena kwa gharama kubwa ya ku-mobilize jeshi utafikiri nchi imo vitani lakini wananchi mnaowaongoza wana hasira na visasi. Na huwezi kutawala watu ambao hawakukuchagua na hawakutaki. Wengi walishajaribu wakashindwa na hawakuwa na mwisho mwema.

Samia atajaribu kutawala kwa kutumia mitutu ya bunduki, kuteka na kuua watu lakini hataweza na, kama historia ni mwalimu sahihi, hatakuwa na mwisho mzuri. Na ataishia katika pipa la takataka la historia kama kiongozi katili, muuaji, fisadi na asiyejali.

Anajua hakuchaguliwa na wananchi. Anajua hakupata kura milioni 32. Anajua hakushinda kwa 98%. Anajua uchaguzi ulivurugika. Anajua alijiapisha kimagumashi. Anajua siyo rais halali. Anajua anaongoza serikali haramu. Basi angalau ajaribu kutenda haki ili ajikongoje na hii miaka mitano yake ambayo itakuwa mirefu na ya mateso sana kwake hasa akiendelea na huu udikteta wake.

Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri yenye kila kitu lakini inaharibiwa na wanasiasa wasio na maono, walafi, wauaji, mafisadi na wasiojali! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

IMG-20251209-WA0008.jpg
 
Nitaendelea kuwaita wajinga na wapumbavu mpaka ujinga na upumbavu viwatoke kichwani mwenu.
Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga na upumbavu wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando.
Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka police wakutumie barua ya wito ?
Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka police wasije kukukamata ghetto?
Wewe mwanamke , tunza kauli zako , nafikili unajua nilosha kwambia nini
 
Nitaendelea kuwaita wajinga na wapumbavu mpaka ujinga na upumbavu viwatoke kichwani mwenu.
Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga na upumbavu wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando.
Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka police wakutumie barua ya wito ?
Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka police wasije kukukamata ghetto?
Ahaaa ahaaa wao waliua polisi wakaharibu mali za raia wema kibao , waliposalimiwa kidogo tu wakapaza sauti mara wamempiga flani akiwa kibarazani, yote hiyo ilikuwa kuichafua Tanzania, Nimefurahi sana polisi walivyo wapusua vichwa siku zile wale wachache , wengi wamejifunza naona this time kila kichaa ana adabu hakuna tena kule kujimwambafai , ohhh tunaelekea mjini, ohhh bado kuchoma kwa flani , ohhh tunaenda kuchoma TCRA maamaaae , wamejua risasi inapenyaje mfupa unakuwa biscuti
 
Attachments

  • 02dcf9dbc26ed51dcb6a5937a58b5d75.mp4
    2.7 MB
chuma mpya za Kirusi zinapumua tu mikononi mwa vijana wenye ari mpya.
Wangeweka pua tu kwisha habari zao
Ahaaa ahaaa wao waliua polisi wakaharibu mali za raia wema kibao , waliposalimiwa kidogo tu wakapaza sauti mara wamempiga flani akiwa kibarazani, yote hiyo ilikuwa kuichafua Tanzania, Nimefurahi sana polisi walivyo wapusua vichwa siku zile wale wachache , wengi wamejifunza naona this time kila kichaa ana adabu hakuna tena kule kujimwambafai , ohhh tunaelekea mjini, ohhh bado kuchoma kwa flani , ohhh tunaenda kuchoma TCRA maamaaae , wamejua risasi inapenyaje mfupa unakuwa biscuti
 
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Kwani Magaidi wa Abdul na Mesenaries kutoka Uganda walikuwepo mtaani? JWTZ si waliwepo wanalinda wanainchi wasiuawe au haujaona? Kwani uliwaona askari waliovaa kiraia na mitutu?
 
Nyumbu zikawa zinadanganywa ooh ukiandamama ndo salama kuliko kukaa ndani, japokua nyumbu hazina akili hata moja ila jana zimeshtuka zikajichimbia uvunguni, maana ile dozi waliyokutana nayo wakiwa wanafanya unyumbu wao wa wizi na uharibifu wa mali ni kubwa kuliko ugonjwa wao hadi wamepona
 
wameanza kupata akili.
Propaganda za kipuuzi wanaanza kuzing'amua
 
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Akil yako imejaa mav matupu
 
Back
Top Bottom